BurudaniEntertainmentMombasa

Ananikosesha Usingizi!! Adasa Afunguka kuhusu mapenzi yake kwa Msanii Korede Bello kutoka Nigeria………………

Msanii anayekua kwa kasi sana kutoka hapa Mombasa Esther Mwangala almaarufu Adasa amefunguka kuhusu hisia za kimapenzi kwa msanii kutoka Nigeria Korede Bello. Kupitia akaunti yake ya instagram Adasa alipost akiwaaambia mashabiki wamsaidie kufikikisha ujumbe kwa Korede Bello kwa kumtag.

 

By Yussuf Tsuma