HabariNews

Francis Atwoli amesema serikali inajukumu la kuwalinda wananchi wote…

Katibu wa mkuu wa chama cha wafanyikazi nchini COTU Francis Atwoli amesema serikali inajukumu la kuwalinda wananchi wote pasi na mwelekeo wao wa kisiasa

Atwoli anasema tukio la jana lakubadilishwa kwa walinzi wa naibu wa rais William Ruto lingetekelezwa kwa taratibu unaofaa ili kuepuka siasa zilizoibuka kutokana na jambo hilo.

Kulingana naye viongozi wanaohusika wanastahili kujulishwa kabla ya mabadiliko kama hayo kufanyika.

BY JOYCE MWENDWA