HabariSiasa

SENETA WA KAUNTI YA KILIFI STEWART MADZAYO AWAKEMEA MAAFISA WA AFYA WANAOZEMBEA………..

Seneta wa kaunti ya kilifi Stewad Manzayo amewakemea vikali maafisa wa afya katika kaunti hiyo kwa madai ya kuzembea katika majukumu yao licha ya serkali ya Kilifi kuimarisha miundo msingi katika kaunti hiyo.

Kulingana na Manzayo baadhi ya maafisa  wa afya katika kaunti hiyo wanazembea katika majukumu yao na hivyo kutatiza huduma za afya katika eneo hilo.

Aidha gavana wa kaunti hiyo Amason Kingi amewaonya vikali maafisa wake dhidi ya kuzembea katika majumu hayo na kusema kuwa kama afisaa yeyete ambaye atazembea hatakuwa na lingine ila kutimuliwa kazini.

By Joyce Kelly