BurudaniEntertainmentHabari

New Music Alert!! Tricks-Ziondoe

Baada ya kudondosha  ngoma inayokwenda kwenda kwa jina Tabia Mbaya Msanii Tricks Amerudi tena na ngoma mpya aliyomshirikisha Lavidoh Kwa Jina Ziondoe, ngoma ambayo imefanya na Producer Mkali na maarufu Pwani Hit Maker TK2.

Itizame na uisikilize Hapa…………

By Yussuf Tsuma