BurudaniFun

Fahamu Sababu Za Rapper TI kutokua na Tattoo

Kwa kawaida wasanii wengi Wakubwa Duniani lazima wapo na vitu ambavyo vinawatambulisha kama wasanii, mfano kuvaa cheni, mtindo wa nywele na kuchora tatto. Tattoo imekuwa kama mtindo wa kila msanii lakini hii tofauti Kwa mmoja wa Marapper wakubwa zaidi duniani kutoka Marekani TI, TI hana Tatto na wala hajawahi kuchora Tattoo. Katika Interview TI alifunguka kuwa Hajawahi kuona sababu kubwa ya yeye kuchora Tattoo na cha sababu ya pili ni kuwa anaogopa sindano.

BY YUSSUF TSUMA