HabariMombasaNews

Wahudumu wa bodaboda kaunti ya Kilifi wanataka usajili unaoendelea wa wahudumu hao kupelekwa karibu na wanapoishi.

Wahudumu wa bodaboda kaunti ya Kilifi wanataka usajili unaoendelea wa wahudumu hao kupelekwa karibu na wanapoishi
baadhi ya wahudumu hao ambao wanaishi vitongojini kaunti hiyo wanasema imekuwa vigumu kufanyiwa huduma hizo kwani wanaishi mbali na kituo cha Huduma center
wanasema kufuatia uhaba wa mafuta ulioshuhudiwa nchini katika siku zilizopita imepelekea hali hiyo kuwa ngumu zaidi
Wahudumu hao ni kutoka maeneo ya Maji ya chumvi, Ganze, Kaloleni, Malindi na magarini.

>>News desk