Producer Super Melody ni mmoja wa producers wachanga sana hapa Pwani wanao onyesha uwezo wa kutengeza mziki mzuri. Producer huyo ambaye alikua akifanya na Record Lebel ya Baba’z Entertainment amefunguka na kusema kwamba hayupo tena Kwenye Record Lebel hiyo kwa sasa. Kulinga na Producer huyo ni kwamba walipishana Kauli na Boss wake kuhusu swala la uaminifu.’siwezi kaa mahali kama mtu haniamini’ alisema Super, Kwa sasa Producer Super Melody anafanya na Xtream Production .