Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025

Category: Kimataifa

  • Home
  • Kimataifa
  • Page 6
October 12, 20210

Rais Uhuru Kenyatta hapo jana alifanya mashauriano ya pande mbili na Katibu Mkuu wa Umoja wa Kimataifa Antonio Guterres…

Rais Uhuru Kenyatta hapo jana alifanya mashauriano ya pande mbili na Katibu Mkuu wa Umoja wa Kimataifa Antonio Guterres katika makao makuu Jijini New

Read More
October 7, 20210

Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ametangaza baraza lake jipya la mawaziri baada ya kuapishwa siku mbili zilizopita…

Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ametangaza baraza lake jipya la mawaziri baada ya kuapishwa siku mbili zilizopita kufuatia ushindi wa chama chake k

Read More
October 5, 20210

WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA ABEY AHMED AAPISHWA KUONGOZA MUHULA WA PILI.

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ameapishwa kuongoza muhula wa pili huku viongozi wachache wa Afrika waliohudhuria hafla hiyo wakimuhimiza kuliweka

Read More
October 4, 20210

WITO UMETOLEWA KWA VIJANA KOTE NCHINI KUJITOKEZA NA KUSAJILIWA KAMA WAPIGA KURA …

Wito umetolewa kwa vijana kote Nchini kujitokeza na kusajiliwa kama wapiga kura ili kufanikisha idadi inayolengwa kwenye awamu hii ya ujasili ya wapig

Read More
October 2, 20210

Watu 13 watiwa mbaroni Rwanda wakituhumiwa kupanga mashambulio ya “kigaidi”

Polisi ya Rwanda imesema, imewatia mbaroni watu 13 wanaoshukiwa kupanga mashambulio ya "kigaidi" dhidi ya mji mkuu wa nchi hiyo Kigali na kuwaonyesha

Read More
September 30, 20210

Waasi na wanajeshi 100 wauwawa katika mashambulizi Yemen…

Duru za kijeshi nchini Yemen zinasema karibu waasi 100 nchini humo na wanajeshi wanaoiunga mkono serikali wameuwawa katika kipindi cha saa 48 zilizopi

Read More
September 18, 20210

RAIS WA ZAMANI WA ALGERIA ABDULAZIZ BOTEFLIKA AFARIKI DUNIA….

  Rais wa zamani Algeria Abdelaziz Bouteflika amefariki dunia Abdelaziz Bouteflika, alieitawala Algeria kwa miongo miwili kabla ya kujiuzul

Read More
September 17, 20210

Umoja wa Mataifa una wasi wasi juu ya kutorejea kwa malori ya misaada yanayoenda Tigray.

Umoja wa Mataifa umeelezea hofu kwamba mamia ya malori yaliyobeba misaada kuelekea katika jimbo la kaskzini mwa Ethiopia la Tigray hayarudi. Maafisa

Read More
September 16, 20210

WHO yasema watu wasiopungua 137,000 huaga dunia kila mwaka kwa kuumwa na nyoka…

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, watu 81,000 hadi 137,000 hupoteza maisha kila mwaka katika maeneo mbalimbali duniani kutokana na athar

Read More
September 15, 20210

Korea kaskazini imefyatua makombora mawili ya masafa marefu, yasema Korea Kusini…

Korea Kaskazini imefyatua makombora mawili ya masafa marefu kutoka pwani ya mashariki ya taifa hilo, jeshi la Korea Kusini limethibitisha. Japan pi

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 5 6 7 … 11 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite