Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Kero la Uvamizi wa Ndovu Lavuruga Masomo eneo la Midoina-Bamba Kaunti ya Kilifi May 14, 2025
  • Kina mama zaidi ya 100 wawezeshwa kiuchumi Kilifi. May 14, 2025
  • ‘Niliapa Kulinda Haki na Demokrasia,’ Rais Ruto asema Wote Waliotekwa Nyara ‘Wam... May 13, 2025
  • Mkuu wa Idara ya Ujasusi Noordin Haji Asema Kenya haina Vifaa vya kutetea Mipaka... May 13, 2025
  • Kindiki awaambia Wapinzani wa Serikali Kujiandaa kwa ‘Mapambano Makali ya Kisias... May 13, 2025

Category: Mombasa

  • Home
  • Mombasa
  • Page 9
July 29, 20230

Serikali yatakiwa kubuni vitengo maalum vya kuangamiza dawa za kulevya.

Serikali imetakiwa kubuni vitengo maalum vya watu wenye ufahamu wa kina kuhusu dawa za kulevya nchini. Mkurugenzi wa taasisi ya kurekebisha tabia kwa

Read More
July 24, 20230

Hatutayumbishwa na vitisho vya serikali, Viongozi wa Azimio Kilifi waapa…

Wakiongea na wanahabari nje ya majengo ya mahakama ya Mombasa muda mfupi tu baada ya mahakama kuwaachilia huru kwa dhamana, viongozi hao wamesema na w

Read More
March 15, 20230

Halmashauri ya Bandari KPA yatoa Msaada wa chakula eneo la Kinango kaunti ya Kwale.

Halmashauri ya Bandari nchini KPA imetoa msaada wa chakula chenye thamani ya shilingi milioni 1.5 kwa familia zilizoathrika na ukame eneo la Kinango k

Read More
February 24, 20230

WANAKANDARASI KAUNTI YA KWALE WAAGIZWA KUZINGATIA WENYEJI WAKATI WA KUTOA AJIRA.

Gavana wa Kwale Fatuma Achani amewaagiza wanakandarasi wanaosimamia miradi ya maendeleo ya Kaunti wawapatie kipaumbele katika utoaji nafasi za aji

Read More
November 9, 20220

Madereva wa texi Mombasa wapongeza hatua ya marubani wa KQ kusitisha mgomo.

Madereva wa texi katika kaunti ya Mombasa wameeleza furaha yao baada ya mahakama ya leba kuamuru marubani wa ndege wa shirika la ndege la kenya air wa

Read More
November 9, 20220

Gavana wa Mombasa Abdhulswamad Nassir aahidi kulipa mishahara ya wafanyakazi kaunti ya Mombasa.

Mgomo wa muungano wa madaktari hapa Mombasa uliokuwa umepangwa kufanyika siku ya Ijumaa wiki hii huenda ukastishwa. Hii ni baada ya gavana wa kaunt

Read More
November 8, 20220

Madereva wa texi kaunti ya Mombasa wanasema wanakadiria hasara kutokana na mgomo wa marubani.

Madereva wa texi kaunti ya Mombasa wanasema wanakadiria hasara kutokana na mgomo wa marubani wa shirika la ndege la Kenya air ways unaoendelea nchin

Read More
November 1, 20220

BAADHI YA WAKAAZI WA KAUNTI YA MOMBASA WASISITIZA HAJA YA SERIKALI KUHUSISHA UMMA KABLA KUONGEZA USHURU.

Baadhi ya wakaazi wa kaunti ya Mombasa wamesisitiza haja ya serikali kuhusisha umma kabla ya kuongeza ushuru huku wakidai kuna baadhi ya mabwanyenye s

Read More
November 1, 20220

Watu wawili wanaendelea kupokea matibabu katika hosipitali kuu ya makadara baada ya kuvamiwa na kundi la wahalifu asubuhi ya kuamkia leo.

Watu wawili wanaendelea kupokea matibabu katika hosipitali kuu ya makadara baada ya kuvamiwa na kundi la wahalifu asubuhi ya kuamkia leo katika wodi y

Read More
October 18, 20220

WITO WATOLEWA KWA GAVANA ABDUL SWAMAD SHARIFF NASSIR KUFANYA MAZUNGUMZO NA BAADHI YA MAAFISA WA KAUNTI.

Wito umetolewa kwa gavana wa Mombasa Abdul Swamad Shariff Nassir kufanya mazungumzo na baadhi ya maafisa wa kaunti wanaodaiwa kuwahangaisha wafanyabia

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 8 9 10 … 24 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite