katika eneo hilo inalenga tu jamii yawa pokot, kwani wanaopoteza maisha yao kwa wingi ni jamii hiyo huku wakidai kuwa sio vita kati ya jamii bali mgogoro wa mipaka.
Kadhalka viongozi hao wanasema iwapo serikali inanuia kuleta amani miongoni mwa jamii hizo mbili ni sharti viongozi wote kutoka eneo hilo kuhusishwa kikamilifu, wakisema kwa sasa jamii hizo zinapitia hali ngumu ya maisha ikizingatiwa kwamba zaidi ya familia 2000 kufikia sasa zimekosa chakula kutokana na vita hivyo.
Comment here