Burudani

BORA NIFE KULIKO KUWA SUSUMILA

Msanii Abdalla Suleiman Chikuku a.k.a Chikuzee anayetamba na Wimbo wake mpya “Podi Podi” amefunguka na kusema kwamba afadhali afe kuliko kuwa Susumila. Ni muda sasa bifu la wasanii hawa wawili wakongwe kutoka mji wa Mombasa kuanza na linaonekana kutoisha hivi karibuni. Kauli hii ya Chikuzee inajiri baada ya kuulizwa swali na mtangazaji kuwa endapo atalala na wakati wa kuamka apewe masharti mawili kuwa susumila ama kufa angechagua gani? Bila kusita akajibu , “ Bora nife” Chikuzee

Comment here