Burudani

NGOMA MBOVU MASHABIKI WAMCHARUKIA SUSUMILA

Mashabiki wa mziki kanda ya pwani wamezidi kutoa maoni yao kuhusu kollabo mpya mjini ambayo nguli wa mziki hapa Pwani Yusuf Kombo a.k.a Susumila na Sho Madjozi walishirikiana kutoa ngoma mpya inayokwenda kwa jina Njoo. Wengi wa Wa mashabiki wameonyeshwa kutoridhishwa na Kazi walioifanya wasanii hao wakidai kuwa walikosa ubunifu licha ya kuwa wao ni wasanii wakubwa Africa.

Hata Hivyo duru za kuaminika kutoka upande wa Susumila ni kwamba licha ya ngoma hiyo kubuma kama wanavyosema mashabiki kampuni ya Warner Music group kutoka Africa Kusini wamependezwa na kazi yake kuwa na inataka kumsign Msanii Susumila.

Baadhi tu ya maoni kutoka kwa mashabiki kuhusu ngoma hiyo.

 

Comment here