Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Si Suala la Kisiasa! Kuzuiwa na Kufurushwa kwa Karua na Wenziwe ni Uamuzi Huru w... May 19, 2025
  • ‘Tanzania Sio Shamba la Bibi Kila Mtu Kuingia!’ Rais Samia Awakemea Wanaha... May 19, 2025
  • Headline;Kiongozi mkuu wa kanisa la kianglikana nchini  Jackson Ole Sapit aikoso... May 17, 2025
  • Wanaharakati Wapendekeza kubuniwa Mbinu Mbadala kukabili Mauaji ya Wanawake na D... May 17, 2025
  • Kilifi United yalambishwa mchanga nyumbani May 16, 2025

Month: March 2021

  • Home
  • 2021
  • March
  • Page 13
March 2, 20210

Serikali ya kaunti ya Kilifi inapania kuimarisha miundomsingi katika wadi ya Kakuyuni eneo bunge la Malindi.

Kulingana na mwakilishi wa wadi hiyo Nixon Mramba zaidi ya barabara saba wadi hiyo zitakarabatiwa kwa kima cha shilingi milioni 20 katika bajeti ya mw

Read More
March 1, 20210

Wasichana walio na umri mdogo eneo la changamwe hapa Mombasa wamenufaika na msaada wa vitambaa vya sodo kutoka kwa wakfu wa Omboko.

Mwanzilishi wa wakfu huo, Dennis Omboko amesema kuwa janga la korona lilisababisha wazazi wengi kukosa ajira hivyo imekuwa vigumu wengi wao kuwa na uw

Read More
March 1, 20210

Spika wa bunge la kaunti ya kilifi Jimmy Kahindi anasema Idadi kubwa ya wakaazi kaunti hiyo hawajasoma na kuelewa kilichomo ndani ya ripoti ya mswada wa BBI.

Kulingana na Kahindi hayo yalibainika wakati wa vikao vya kuchukua maoni ya wananchi kuhusu BBI kutokana na  maswali waliyopata kutoka baadhi ya wakaa

Read More
March 1, 20210

Mbunge wa kisauni Ali Mbogo anawasihi wakaazi…

Mbogo ambaye  ana azma ya kuwania ugavana kaunti ya Mombasa katika uchaguzi mkuu ujao, anasema matatizo  mengi ya wakaazi yanafaa kuangaziwa na serika

Read More
March 1, 20210

Muungano wa Jamii ya Waluo hapa Mombasa umezindua rasmi ofisi itakayokuwa ikitoa hamasa kuhusu mapendekezo ya katiba kupitia BBI.

Ofisi hiyo imezinduliwa eneo la Mikindani na inanuiwa kuwapa ufahamu zaidi wananchi kabla kufanyika kura ya maoni. Mwenyekiti wa kundi hilo Jackoni

Read More
March 1, 20210

Kamishena wa kaunti ya Kwale Joseph Kanyiri amewaonya wazazi wa kaunti hiyo dhidi ya kujihusisha na visa vya ndoa za mapema.

Akizungumza katika eneo la Diani, Kanyiri amesema wazazi watakaopatikana wakiwaozesha wasichana wao wa umri mdogo watakabiliwa kisheria. Vile vile,

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 12 13
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite