HabariNews

WAKAAZI KAUNTI YA LAMU WAHIMIZANA KUOANA KWA WINGI ILI KUONGEZA IDADI YA WAKAAZI WA ENEO HILO …

Huku Kenya ikiungana na mataifa mengine ulimwenguni kuadhimisha siku ya idadi ya watu ulimwenguni, wakaazi katika kaunti ya Lamu wamehimizana kuoana kwa wingi ili kuongeza idadi ya wakaazi wa eneo hilo.

Kulingana na mwenyekiti wa vugu vugu la save Lamu Mohamed Athman, changamoto ya uchochole miongoni mwa jamii imepelekea wanaume wengi katika kaunti ya Lamu kukosa kuoa kutokana na gharama ya ndoa.

Kaunti ya Lamu ina idadi ya watu wapatao elfu mia moja na hamsini.

BY NICK WAITA