Uamuzi wa ripoti ya kubatilisha katiba kupitia mchakato wa BBI utafanyika ijuma wiki hii katika mahaka ya rufaa jijini Nairobi
Katika taarifa kwa vyombo vya habarai uamuzi huo utasomwa na majaji 7 waliosikiliza kesi hiyo baada ya muungano unaonekana kuunga mkono mabadiliko ya katiba ukiongozwa na wakili James Orengo pamoja na Otiende Amollo kupeleka mapendekezo ya kupinga uamuzi wa makahama kuu katika mahakama hiyo ya rufaa.
Kadhalika idara ya mahakama imedai kuwa mawakil 16 pekee wanane kutoka kila pande ndio watakao ruhusiwa mbele ya mahakama hiyo wakati wa kutoa uamuzi na hii ni kutokana na kudhibiti msambao wa covid 19 hii ni kulingana naibu msajili wa mahama hiyo Lorraine Ogombe.
Mawakili wanatarajiwa kutoa uamuzi huo nia akiwemo rais wa mahakama ya Daniel Musinga, Justices Hannah Okwengu, Patrick Kiage, Fatuma Sichale, Gatembu Kairu, Roselyne Nambuye and Francis Tuiyot.
By David Otieno