Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Timu 32 Kutoka Kaunti Za Mombasa Na Kwale Kuwania Ubingwa Wa Makala Ya 6 Ya Rash... May 13, 2025
  • Mamia ya Wakazi Mvita-Mombasa Wajitokeza kwa Matibabu ya Bure May 11, 2025
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025

Year: 2021

  • Home
  • 2021
  • Page 4
December 8, 20210

MWANAMUME AFARIKI PAMOJA NA WAZAZI WAKE KATIKA SHAMBULIZI LA KUJITOA MUHANGA HUKO KISUMU.

Mwanaume mMoja pamoja na wazazi wake wamefariki katika eneo la Katito nyakach kaunti ya Kisumu baada ya bomu la kujitoa mhanga kulipuka ghafla. Josep

Read More
December 7, 20210

Mamlaka ya maendeleo ukanda wa Pwani CDA imewataka wakaazi kutumia mvua inayoshuhudiwa na kupanda mimea ya chakula.

Mamlaka ya maendeleo ukanda wa Pwani CDA imewataka wakaazi kutumia mvua inayoshuhudiwa na kupanda mimea ya chakula ili kuepuka janga la njaa katika si

Read More
December 7, 20210

Walemavu kaunti ya Kwale walalamikia kutengwa katika masuala ya ajira.

Walemavu katika kaunti ya Kwale wamelalamikia kutengwa na serikali ya kaunti ya Kwale katika maswala ya ajira kufuatia ukosefu wa uwakilishi katika se

Read More
December 7, 20210

wazazi kaunti ya Mombasa waunga mkono pendekezo la Profesa George Magoha la kurudisha adhabu ya kiboko shuleni.

Huku visa vya kukosa nidhamu shuleni vikizidi kushuhudiwa katika shule mbalimbali hapa nchini wazazi pamoja na walimu wanapendekeza kurejeshwa kwa adh

Read More
December 7, 20210

Afisa wa polisi amemuua mkewe na watu wengine watano kabla ya kujiua huko Kabete kaunti ya Kiambuu.

Afisa mmoja wa polisi eneo la Kabete kaunti ya kiambu amewauwa watu 5 kwa kuwapiga risasi na kisha kujiua kwa kujipiga risasi. Hata hivyo inasemekan

Read More
December 6, 20210

Baraza la wazee wa jamii ya waluo eneo bunge la Nyali kaunti ya Mombasa wameeleza azima yao ya kumuunga mkono kiongozi mwenye msimamo na uaminifu kwa chama cha ODM.

Baraza la wazee wa jamii ya waluo eneo bunge la Nyali kaunti ya Mombasa wameeleza azima yao ya kumuunga mkono kiongozi mwenye msimamo na uaminifu kwa

Read More
December 6, 20210

Adama Barrow atangazwa rasmi mshindi wa urais nchini Gambia

Maelfu ya wafuasi wa rais Adama Barrow wamemiminika mitaani kusherehekea ushindi wa rais huyo wa Gambia kwa kipindi cha pili mfululizo baada ya matoke

Read More
December 6, 20210

Vijana wahimizwa kujitosa katika masuala ya uongozi.

Baadhi ya viongozi ambao ni vijana ukanda wa pwani wamewahakikishia vijana wenza kwamba wanapojituma na kugombea nyadhifa mbalimbali nchini watapata a

Read More
December 6, 20210

Baadhi ya wakenya waonekana kususia chanjo ya Covid-19.

Huku serikali ikizidi kutoa wito kwa wakenya kujitokeza na kupata chanjo dhidi ya maradhi ya covid 19, baadhi ya wakenya wanaonekana kususia chanjo hi

Read More
December 6, 20210

Baadhi ya wakazi wa Mombasa wakana madai ya ripoti kuwa jamii ya wamijikenda imeajiriwa kwa wingi KPA.

Baadhi ya wakaazi wa Mombasa hususan waliokuwa waajiriwa wa Bandari ya Mombasa KPA awali wamekana madai ya ripoti ya ukaguzi uliofanywa na kamati ya u

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 3 4 5 … 92 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite