Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • ‘Niliapa Kulinda Haki na Demokrasia,’ Rais Ruto asema Wote Waliotekwa Nyara ‘Wam... May 13, 2025
  • Mkuu wa Idara ya Ujasusi Noordin Haji Asema Kenya haina Vifaa vya kutetea Mipaka... May 13, 2025
  • Kindiki awaambia Wapinzani wa Serikali Kujiandaa kwa ‘Mapambano Makali ya Kisias... May 13, 2025
  • Timu 32 Kutoka Kaunti Za Mombasa Na Kwale Kuwania Ubingwa Wa Makala Ya 6 Ya Rash... May 13, 2025
  • Mamia ya Wakazi Mvita-Mombasa Wajitokeza kwa Matibabu ya Bure May 11, 2025

Year: 2021

  • Home
  • 2021
  • Page 5
December 3, 20210

Watu wanne wameshtakiwa kwa kumchinja na kumchoma moto hadi kufa mzee mmoja nchini Msumbiji ambaye ametuhumiwa kuwa mchawi.

Watu wanne wameshtakiwa kwa kumchinja na kumchoma moto hadi kufa mzee mmoja nchini Msumbiji ambaye ametuhumiwa kuwa mchawi. Mzee huyo mwenye umri wa

Read More
December 3, 20210

Waziri wa Uchukuzi na ujenzi James Macharia amesema kwamba Kenya inakabiliwa na upungufu mkubwa wa nyumba.

Waziri wa Uchukuzi na ujenzi James Macharia amesema kwamba Kenya inakabiliwa na upungufu mkubwa wa nyumba, jambo ambalo linahitaji mikakati ya kutatua

Read More
December 3, 20210

Hafla ya kuchangisha fedha za kufadhili kampeni za Kinara wa Chama cha ODM Raila Odinga imehairishwa.

Hafla ya kuchangisha fedha za kufadhili kampeni za Kinara wa Chama cha ODM Raila Odinga imehairishwa hadi siku isyojulikana. Uchangishaji huo ambao u

Read More
December 3, 20210

Wakenya wawili waliowasilisha ombi kwa Tume ya Mahakama ya JSC wakitaka Jaji Saidi Chitembwe aondelewe ofisini wameliondoa ombi hilo.

Wakenya wawili waliowasilisha ombi kwa Tume ya Mahakama ya JSC wakitaka Jaji Saidi Chitembwe aondelewe ofisini wameliondoa ombi hilo. John Wangai na

Read More
December 3, 20210

MKUU WA IDARA YA DCI GEORGE KINOTI AMSHEREHEKEA DEVERA ALIYERIPOTI WANAFUNZI WATUNDU.

Hatimaye Mkuu wa DCI George Kinoti amekutana na dereva John Maina Muthoni ambaye aliripoti wanafunzi waliokuwa wanatumia mihadarati ndani ya matatu al

Read More
December 3, 20210

Rais Uhuu Kenyatta ameongoza hafla ya kufuzu kwa makuru wa shirika la huduma za vijana NYS katika kaunti ya Nakuru.

Rais Uhuru Kenyatta ameongoza hafla ya kufuzu kwa makuru wa shirika la huduma za vijana NYS katika kaunti ya Nakuru. Akihutubia katika kituo cha maf

Read More
December 1, 20210

FAHALI WAWILI JIMMY WANJIGI NA MKUU WA IDARA YA DCI GEORGE KINOTI KUKABILIANA KISHERIA MAHAKAMANI HII LEO.

Makabiliano ya kisheria yanatarajiwa Mahakamani baina ya Mfanyibiashara Jimmy Wanjigi na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Upelelezi DCI George Kinoti kufua

Read More
December 1, 20210

NICK MWENDWA AJIONDOA KATIKA WADHIFA WA RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA FKF.

Nick Mwendwa amejiondoa katika Wadhifa wa Rais wa Shirikisho la Soko humu Nchini FKF. Kwa mujibu wa barua iliyoandikiwa kamati kuu ya kitaifa ya FKF,

Read More
December 1, 20210

Mwanamke mwenye umri wa miaka 19 amejifungua mapacha walioungana katika kaunti ya Kisii.

Mwanamke mwenye umri wa miaka 19 amejifungua mapacha walioungana katika hospitali ya Lenmek, eneo la Ogembo katika kaunti ya Kisii. Mama ya mapacha h

Read More
November 30, 20210

SHIRIKA LA AFYA DUNIANI WHO LATAFUTA MKATABA MPYA WA KUKABILIANA NA KIRUSI KIPYA CHA OMICRON

Shirika la Afya Duniani WHO na washirikishi wengine inatafuta mkataba mpya wa kukabiliana na janga la kirusi kipya cha Omicron. Akizungumza katika uf

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 4 5 6 … 92 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite