HabariNews

Maafisa wa kutetea haki za binadam sasa wanataka serikali kuhakikisha sheria zinafuatwa ili kukabiliana na na visa vya unyanyasaji kingono.

Hii ni baada ya mwanamke mmkoja kujipata mikononi mwa wanabodaboda jijini Nairobi baada ya kudaiwa kusababisha ajali.
Afisa wa masuala ya dharura katika shirika la haki afrika Alexander Mbela amesema ku kama shirika la kutetea haki za kibinadamu wanafwatilia kesi kama hizo ili kuleta haki miongoni mwa jamii.
Wakati huo huo Katibu wahudumu wa boda boda hapa Mombasa Halifa Mwitsau amekashifu kitendo hicho na kutaka wahusika kuchuliwa hatua kali ya kisheria.