BurudaniEntertainment

MFAHAMU MSANII REGY BABY

Damu changa inzazidi kuvamia game!! Tasnia ya mziki kwa asilimia kubwa imetawaliwa na wasanii wakiume huku watoto wa kike wakionekana kulemewa na mawimbi ya mziki ila kuna wachache wanoudhirihishia ummah kuwa wanaweza na wanauwezo wa kufika sehemu amabazo watu hawakutarajia. Regy Baby ni mmoja ya wasanii wa kike wanaojituma na kuhakikisha kuwa nafasi ya watoto wa kike katika Tasnia ya Mziki inatambulika.
Labda huwa unajiuliza Huyu ni Msanii gani, Regy amekuwa kwa game mda wa mwaka mmoja sasa. Kazi ambazo zimempa jina ni kama vile kajinunulie na pigoma ambayo amemshrikisha Masauti ngoma ambazo ziko kwa EP Malkia wa Miondoko.

Tizama na usikilize baadhi ya ngoma zake

BY YUSSUF TSUMA