Samia Suluhu Hassan ameapishwa kuwa rais wa sita wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, na kuchukua kiti cha aliyekua rais Dkt Pombe Magufuli aliyeaga dunia jumatano machi 17 mwaka huu .
Samia ameapishwa na jaji mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma, katika ikulu huko jijini Dar es Salaam.
Samia Suluhu ameweka recodi mpya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa rais Afrika Mashariki.
Kadhalika mama SULUHU amechukua wadhfa huo na atahudumu kwa kipindi kilichosalia cha muda wa urais hadi pale uchanguzi mwingine wa urais utakapofanyika.