Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025
  • Atwoli ashinikiza Serikali Kuwapa Wafanyakazi Afueni ya Makato ya Ushuru May 1, 2025

Category: Habari

  • Home
  • Habari
  • Page 203
March 22, 20210

Wasimamizi wa mtihani LAMU watakiwa kuwajibika…

Maafisa wa kusimamia mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE katika kaunti ya Lamu wametakiwa kuwajibika ili kufanikisha mtihani huo ambao umeanza h

Read More
March 22, 20210

Mtihani wa KCPE waanza kote nchini, huku usalama ukiimarishwa….

Takriban wanafunzi milioni 1.2 kote nchini wanafanya mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE leo. Wanafunzi hao wameanza na somo la hisabati asub

Read More
March 21, 20210

KMPDU YASHINIZA SERIKALI KUKABILI AWAMU YA TATU YA CORONA.

Chama cha Madaktari nchini KMPDU sasa kinataka serikali kuweka mikakati mwafaka kukabili awamu ya tatu ya virusi vya corona. Katibu mkuu wa KMPDU-C

Read More
March 21, 20210

MAAFISA WA USALAMA KUPEWA BIMA YA AFYA.

Idara ya usalama nchini inasema inapania kuimarisha maisha ya maafisa wa usalama kwa kutoa bima ya afya itakayo wasimamia wanapogonjeka. Kibito Wam

Read More
March 21, 20210

KCPE KUANZA JUMATATU HUKU MATAYARISHO YAKIKAMILIKA

Kamishena wa kaunti ya Tana River Mbogai Rioba amesema mikakati imewekwa ya kuhakikisha swala la udanganyifu na wizi wa mtihani linazuiwa. Rioba am

Read More
March 21, 20210

SAMBOJA APUUZA UVUMI WA KUUGUA CORONA.

Gavana wa taita taveta Granton Samboja amepuuza ripoti zinazoenezwa mitandaoni kwamba yupo katika chumba cha wagonjwa mahututi na akitibiwa vrusi vya

Read More
March 20, 20210

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amempongeza Samia Suluhu Hassan kwa kuwa Rais mpya wa Jamuhuru ya Muungano wa Tanzania .

Katika taarifa iliyotumwa kwenye mtandao wake wa Twitter Bw Museveni amesema kuwa Uganda itafanya maombolezo ya siku 14 na kuongeza kuwa ''Roho yake i

Read More
March 20, 20210

Huenda Mabadiliko yakafanyika katika sekta ya uchukuzi wa umma hasa kuhusu idadi ya abiria wanaobebwa kwenye magari ya umma.

Haya ni kwa mujibu wa msemaji wa serikali Cyrus Oguna  aliyekuwa akizungumza na wanahabari wa hapa Mombasa. Oguna ametetea  hatua ya serikali kuend

Read More
March 20, 20210

Rais Uhuru Kenyatta hii leo atembelea makazi ya balozi wa jamuhuri ya Tanzania humu nchini

Rais akiandamana na maafisa wa ngazi ya juu serikalini kati yao wakiwa jaji mkuu Philomena Mwilu,na maspika wa mabunge yote, wote wakituma risala zao

Read More
JOHN POMBE MAGUFULI
March 20, 20210

Ibada ya kuombea na kuaga mwili ya mwendazake aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli inaendelea kwa sasa katika kanisa la St Peters jijini Daresalaam.

Ma mia ya waombolezaji  wakiongozwa na Rais wa  Tanzania Samia Suluhu Hassan wameweza kufika katika kanisa hilo kuuaga mwili wa hayati Magufuli. Ai

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 202 203 204 … 215 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite