Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • ‘Niliapa Kulinda Haki na Demokrasia,’ Rais Ruto asema Wote Waliotekwa Nyara ‘Wam... May 13, 2025
  • Mkuu wa Idara ya Ujasusi Noordin Haji Asema Kenya haina Vifaa vya kutetea Mipaka... May 13, 2025
  • Kindiki awaambia Wapinzani wa Serikali Kujiandaa kwa ‘Mapambano Makali ya Kisias... May 13, 2025
  • Timu 32 Kutoka Kaunti Za Mombasa Na Kwale Kuwania Ubingwa Wa Makala Ya 6 Ya Rash... May 13, 2025
  • Mamia ya Wakazi Mvita-Mombasa Wajitokeza kwa Matibabu ya Bure May 11, 2025

Category: News

  • Home
  • Lifestyle
  • News
  • Page 65
September 18, 20230

Jamaa Ashambuliwa na Kujeruhiwa na Nyati, Lamu

Mwanamume mmoja anauguza majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na nyati katika kaunti ya Lamu. Kulingana na Chifu wa eneo la Mpungani Mutakina Hussei

Read More
September 15, 20230

Viongozi wa Mombasa waungana kupinga kuruhusiwa kwa Jumuiya ya LGBTQ

Viongozi wa Vuguvugu la kupinga mapenzi ya jinsia moja kuanti ya Mombasa –ANTI-LGBTQ pamoja na viongozi wa Kidini na kisiasa wameongoza mandamano ya a

Read More
September 14, 20230

Nyumba za Buxton Point kuanza kukabidhiwa Wenyeji Jumamosi hii

Mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa wa Buxton Point uliogharimu shilingi bilioni 6 umekamilika. Mradi huo ulitekelezwa na Kampuni ya Gulf Cap Real Es

Read More
September 14, 20230

Madaktari Pwani wataka Sekta ya Afya irejeshwe Serikali Kuu

Muungano wa madaktari nchini KMPDU eneo la Pwani sasa unataka huduma za afya kurejeshwa katika mamlaka na usimamizi wa serikali kuu. Kwenye mazungu

Read More
September 14, 20230

Kamati ya Afya yataka NHIF iwe chini ya Usimamizi wa UHC

Kamati ya afya katika bunge la seneti imeanzisha juhudi za kujumuisha serikali za kaunti kuhusu bima mpya ya afya ikidokeza kuwa miswada kadhaa iliwas

Read More
September 13, 20230

Kamati ya Mazungumzo ya Maridhiano yalilia Fedha Kufadhili mazungumzo hayo

Kamati ya mazungumzo ya maridhiano kati ya serikali na upinzani sasa inataka fedha za kufadhili vikao vyao. Taarifa za ndani zimearifu kuwa Kamati h

Read More
September 12, 20230

Kaunti ya Kilifi yawekeza zaidi kwenye vyuo vya kiufundi Kuvutia Vijana katika Elimu

Serikali ya kaunti ya Kilifi inapania kuwekeza zaidi kwenye sekta ya elimu ya vyuo vya kiufundi ili kukabiliana na tatizo la ukosefu wa ajira miongoni

Read More
September 12, 20230

Bilioni 1 zatengwa kwa Uzinduzi waVitambulisho vya Kidijitali

Serikali imetenga shilingi bilioni 1 kufanikisha mradi wa usajili wa vitambulisho vipya vya kidijitali, UPIs. Kulingana na Katibu wa Idara ya Uhamiaj

Read More
September 12, 20230

Wenye Matatizo ya Akili washughukulikiwe na Sheria Bungeni Waundiwe, wito kwa Serikali

Mwanaharakati wa kushughulikia watu wenye matatizo ya akili kaunti ya Mombasa Amina Abdalla ameeleza haja ya kuundwa kwa sheria bungeni kuwalinda watu

Read More
September 12, 20230

Mwili wa Mwanamume wakutwa Ukielea Baharini Oldport Mombasa

Idara ya usalama Mombasa inaendelea na uchunguzi baada ya mwili wa mwanamme mmoja kupatikana ukielea katika ufuo wa Bahari hindi mjini Mombasa. Afisa

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 64 65 66 … 153 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite