HabariNews

Kaunti ya Kwale imerekodi jumla ya visa elfu 7 vya watoto wenye umri mdogo kupata mimba za mapema mwaka huu .

Kaunti ya Kwale imerekodi jumla ya visa elfu 7 vya watoto wenye umri mdogo kupata mimba za mapema mwaka huu .

Waziri wa afya kaunti ya kwale Francis Gwama amethibitisha akisema kwamba eneo la msambweni liko na visa 1300 .

Gwama ameitaja rekodi hio kuwa ya juu mno, akiitaka jamii kuwaelimisha watoto wao athari ya ngono ya mapema ambayo pia imechangia ongezeko la virusi vya Ukimwi miongoni mwa vijana mwenye umri mdogo kufuatia ngono zisizo salama.

BY EDITORIAL DESK