HabariNews

Viongozi Watishia kuishtaki Mahaka iwapo haitafidia Ubomoaji wa Mavoko

Viongozi wa chama acha Wiper kutoka kaunti ya Machakos wametishia kuishtaki mahakama katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu iwapo haitafidia waliobomolewa makaazi yao katika eneo la Mavoko kaunti ya Machakos.

Viongozi hao wakiongozwa na gavana Wavinya Ndeti, mbunge wa Matumbulu Stephenm Mule na Mbunge wa Yatta Robert Basil  walikashifu hatua hiyo wakisema ni hatia na  kinyume cha misingi ya kibinadamu. Waliilaumu serikali kwa kile wanachokitaja kuwa ubaguzi kwa wananchi katika utekelezaji wa baadhi ya amri zake.

Nihatia dhidi yawalimwung, natujitayarishe tueleke ICC twende ushtaki hii mtu.watu wengine wametumia mamilioni kujenga nyumba zaona nyumba zao za mamilioni zinaenda kubomolea, wengine wanapatiwa notisi wengine wanaambiwa wanunue huku kambani wanaambiwa wabomolewe”. Alisema

Takribana familia 10,00 ziliathirika na ubomoaji huo ambao ulifanyika katika  shamba la east afarican portland cement eneo la Mavoko.

BY EDITORIAL DESK