Waziri wa kawi Charles keter amejitenga na madai ya kuhusika katika hatua ya kupandishwa kwa bei za mafuta.
Keter ambaye amesusia kufika katika seneti kutoa mwanga zaidi kuhusu sababu za kupanda kwa bei hizoamesema hali inayoshuhudiwa nchini haijasabibishwa na ofisi yake bali ile ya wizara ya Petroli
Keter na mwenzake wa mafuta na madini John Munyes walitarajiwa wa kufika mbele ya kamati ya kawi inayoongozwa na seneta Ephraim Maina
Munyes kwa upande wake ameomba kamati hiyo kuhairisha kikao cha kumhoji akisema kwamba amesema nje ya nchi.
BY NATASHA TALU