BurudaniEntertainment

PETY NILA : WAKENYA WA UGHAIBUNI HAWASUPPORT WENZAO KABISA| SIMJUI HAPPY C

Msanii wa mziki wa kizazi kipya Pety Nila anayeishi Ujerumani katika mahojiano na Sauti Ya Pwani alifunguka na kuwashambulia wakenya wanaoishi Ughaibuni kwa kile alichodai kuwa kukosa support kutoka kwa wakenya wanoishi Ughaibuni. Aidha Pety alliongezea kuwa hata Akothee akifanya event yake huwa wanaojaa niwatu kutoka Nigeria na wala sio Kenya.

Msikilize hapa

By Yussuf Tsuma