Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Si Suala la Kisiasa! Kuzuiwa na Kufurushwa kwa Karua na Wenziwe ni Uamuzi Huru w... May 19, 2025
  • ‘Tanzania Sio Shamba la Bibi Kila Mtu Kuingia!’ Rais Samia Awakemea Wanaha... May 19, 2025
  • Headline;Kiongozi mkuu wa kanisa la kianglikana nchini  Jackson Ole Sapit aikoso... May 17, 2025
  • Wanaharakati Wapendekeza kubuniwa Mbinu Mbadala kukabili Mauaji ya Wanawake na D... May 17, 2025
  • Kilifi United yalambishwa mchanga nyumbani May 16, 2025

Month: October 2022

  • Home
  • 2022
  • October
October 31, 20220

Wakfu wa Aga Khan unatekeleza mradi ili kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira miongoni mwao.

Wakfu wa Aga Khan unatekeleza mradi wa miaka miwili wa kutoa mafunzo ya kibiashara kwa vijana unaofadhiliwa na umoja wa ulaya (EU) ili kukabiliana na

Read More
October 31, 20220

Viongozi wa kike kaunti ya Kwale sasa wanataka kuhuhusishwa kikamilifu katika maswala ya ardhi na madini.

Viongozi wa kike kaunti ya Kwale sasa wanamtaka waziri mpya wa madini Salim Mvurya kuhakikisha wanawake wanahusishwa kikamilifu katika maswala ya ardh

Read More
October 31, 20220

Wakaazi 1800 kutoka vijiji 16 vya eneo bunge la Msambweni kaunti ya Kwale wamepokea chakula cha msaada.

Jumla ya wakaazi 1800 kutoka vijiji 16 vya eneo bunge la Msambweni kaunti ya Kwale wamepokea chakula cha msaada kilichotolewa na serikali ya kitaifa k

Read More
October 28, 20220

Salim Mvurya ateuliwa kuwa waziri wa madini na uchumi wa baharini.

Wakaazi wa kaunti ya Kwale wamempongeza rais William Ruto kwa kumteua aliyekuwa gavana wa kaunti hiyo Salim Mvurya katika wizara ya madini na uchumi w

Read More
October 28, 20220

IPOA imethibitisha kupokea kesi elfu 20 kufikia sasa zinazohusiana na upotofu wa nidhamu miongoni mwa maafisa wa polisi humu nchini.

Tume ya utendakazi wa polisi nchini IPOA imethibitisha kupokea kesi elfu 20 kufikia sasa zinazohusiana na upotofu wa nidhamu miongoni mwa maafisa poli

Read More
October 28, 20220

Tahadhari yatolewa kwa jamii kuhusiana na chanjo ya corona.

Shirika la CHRISTIAN AID kwa ushirikiano na idara ya afya kaunti ya mombasa pamoja na wadau mbali mbali limetoa hamasa kwa jamii kuhusu umuhimu wa cha

Read More
October 28, 20220

Shirika la msalaba mwekundu limetaja kupungua kwa asiliamia chache katika msambao wa virusi vya HIV ukanda wa pwani.

Shirika la msalaba mwekundu katika ukanda wa pwani limetaja kupungua kwa asiliamia chache katika msambao wa virusi vya HIV ukanda wa pwani hasa kaunti

Read More
October 27, 20220

Umaskini watajwa kuwa chanzo kikuu cha ongezeko la visa vya dhulma za kijinsia.

Umaskini ndio chanzo kikuu cha ongezeko la visa vya dhulma za kijinsia hususan wakati huu ambapo baadhi ya sehemu zimekubwa na kiangazi katika kaunti

Read More
October 27, 20220

Kenya imetajwa kuwa miongoni mwa mataifa yenye idadi kubwa ya wanafunzi Marekani.

Kenya imetajwa kuwa miongoni mwa taifa lenye idadi kubwa ya wanafunzi wanaosomea taaluma mbalimbali katika taifa la Marekani kutoka barani Afrika.

Read More
October 27, 20220

Rais William Ruto amehakikishia baraza lake la mawaziri ushirikiano wa dhati wakati wa kutekeleza majukumu yao.

Akizungumza katika ikulu ya Nairobi baada ya mawaziri hao kulishwa kiapo, rais Ruto amesema ushirikiano huo ndio utakaofanikisha ajenda ya maendelea k

Read More

Posts navigation

1 2 … 7 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite