HabariMombasaNews

Mtu Mmoja Aripotiwa Kufunikwa katika Vifusi vya Jumba lililoporomoshwa

Mtu mmoja Kwa jina Yusuf Ali Abdi ameripotiwa Kukwama Kwenye vifusi vya Jumba lilobomolewa eneo la Kilifi-Makadara Kaunti ya Mombasa.

Gavana wa Mombasa Abduswamad Sharrif Nassir amebaini hilo akisema kanda za video zimemwonyesha Yusuf akingia eneo la tukio dakika chache kabla jumba hilo kuporomoshwa.

Juhudi za Kumuondoa Kwenye vifusi vya Jumba hilo zimeanza mara Moja.

Huku hayo yakijiri, Gavana Nassir amesimamisha shughuli za ujenzi Mjini Mombasa ili Kupisha uchunguzi wa kina wa majengo yanayoendelea Katika Kaunti hiyo.

Juhudi za Kumuondoa Kwenye vifuzi vya Jumba hilo zimeanza mara Moja.

Huku hayo yakijiri, Gavana Nassir amesimamisha shughuli za ujenzi Mjini Mombasa ili Kupisha uchunguzi wa kina wa majengo yanayoendelea Katika Kaunti hiyo.

Wakati up huo Gavana Nassir ameunda Jopo maalum ya kuchunguza ujenzi wa jumba lilioangishwa Mjini mchana wa Jumatano Aprili 9.

By Isaiah Muthengi