Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025
  • Atwoli ashinikiza Serikali Kuwapa Wafanyakazi Afueni ya Makato ya Ushuru May 1, 2025

Category: Habari

  • Home
  • Habari
  • Page 201
March 27, 20210

Shirika la afya duniani WHO latoa wito kwa makampuni ya kutengeneza chanjo dhidi ya corona kwa mataifa yaliyoendelea kusaidia kusambaza kwa dharura dozi milioni 10 kupitia mpango wa covax ili kuyanufaisha mataifa maskini.

Mkurugenzi wa  WHO tedros  amesema mwaka ulipoanza alitoa hakikisho kwamba katika kipindi cha siku mia 100 duniani kila taifa litakua limeanza kutoa c

Read More
March 27, 20210

Watahiniwa takriban 428 katika ukanda wa Pwani hawakuweza kukalia mtihani wao wa kitaifa wa KCPE………………………………………..

Watahiniwa takriban 428 katika ukanda wa Pwani hawakuweza kukalia mtihani wao wa kitaifa wa KCPE. Kulingana na mshirikishi wa elimu katika ukanda w

Read More
March 26, 20210

Watu 2,008 waambukizwa corona huku 6 wakiaga dunia hii leo….

Kenya hii leo imerekodi visa vipya 2,008 vya maambukizi ya COVID-19 kutoka kwa sampuli 11,360 katika muda wa saa 24 zilizopita. Kufikia sasa Kenya

Read More
March 26, 20210

Hatimaye hayati Magufuli azikwa huko kwao Chato….

Aliyekuwa rais wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli amezikwa alasiri ya leo kwenye makaburi ya familia nyumbani kwao Chato–Kagera nchini Tanzania.

Read More
March 26, 20210

Magoha apuzilia mbali madai kwamba mtihani wa KCSE umeibwa……

Waziri wa elimu proffesa George Magoha anasema wizara yake haitalegeza kamba katika kuhakikisha kwamba kuna uadilifu katika mitihani ya kitaifa humu n

Read More
March 26, 20210

Rais aongoza maafisa wakuu kupewa chanjo ya covid 19……

Rais Uhuru Kenyatta leo ameongoza maafisa wakuu wa serikali kupokea chanjo ya corona katika Ikulu ya Nairobi. Baada ya kutangaza masharti mapya ya

Read More
March 26, 20210

Rais apiga marufuku kuingia na kutoka kaunti tano humu nchini….

Rais Uhuru Kenyatta amepiga marufuku usafiri wa kuingia na kutoka katika kaunti za Nairobi, Kajiado, Machakos, Kiambu na Nakuru kuanzia leo saa sita u

Read More
March 25, 20210

Wetangula apinga hatua ya serikali kutaka kuzifunga kambi za wakimbizi….

Seneta wa kaunti ya Bungoma Moses Wetangula anaendelea kupinga hatua ya serikali ya Kenya kulipatia shirika la kimataifa la kushughulika wakimbizi UNH

Read More
March 25, 20210

Oparesheni ya usalama Kapedo yasitishwa kwa muda…….

Serikali imesitisha kwa muda oparesheni ya kiusalama inayoendelea katika eneo la Kapedo katika kaunti za Turukana na Baringo ili kutoa nafasi kwa vion

Read More
March 25, 20210

Viwango vya chanjo ya Astrazeneca kuzuia maambukizi vyapunguzwa….

Kampuni ya Astrazeneca sasa imepunguza viwango vya uwezekano wa chanjo yake kuzuia maambukizi ya virusi vya corona kwa asilimia 3. Ripoti ya hivi pun

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 200 201 202 … 215 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite