Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025

Category: Lifestyle

  • Home
  • Lifestyle
  • Page 103
November 3, 20220

SHIRIKA LA HUDUMA ZA KUSIMAMIA MISITU NCHINI LIMESEMA KUWA MIKAKATI ZAIDI IMEWEKWA ILI KUDHIBITI UKATAJI MIKOKO.

Shirika la Huduma za kusimamia misitu nchini (KFS) limesema kuwa mikakati zaidi imewekwa ili kudhibiti ukataji mikoko katika fuo za bahari nchini.

Read More
November 3, 20220

Gavana wa jimbo la Kwale atoa onyo kali dhidi ya wafanyikazi wa umma wasiowajibika.

Onyo kali limetolewa na gavana wa jimbo la Kwale dhidi ya wafanyikazi wa umma katika serikali ya kaunti ya hiyo akisema wale wote wasiowajibika watach

Read More
November 2, 20220

Serikali ya kitaifa imetakiwa kuimarisha usalama kaunti ndogo ya Magarini kaunti ya Kilifi.

Serikali ya kitaifa imetakiwa kuimarisha usalama kaunti ndogo ya Magarini kaunti ya Kilifi ili kumaliza visa vya wanafunzi kuvamiwa wakiwa njiani kuel

Read More
November 2, 20220

CHUO KIKUU CHA KENYA METHODIST TAWI LA MOMBASA KIMEAJIANDAA VYA KUTOSHA KUTEKELEZA MFUMO WA ELIMU YA UMILISI CBC.

Mkurugenzi wa chuo kikuu cha Kenya Methodist tawi la Mombasa Dr. Winfred Githinji amesema chuo hicho kimeajiandaa vya kutosha kutekeleza mfumo wa elim

Read More
November 2, 20220

Madeni yaliyosawa kisheria yatalipwa chini ya utalawa wa sasa.

Kiongozi wa wengi katika bunge la kaunti ya Mombasa amabae ni mwakilishi wa wadi ya likoni Athman mwamiri, amesema kuwa bunge hilo litahakikisha kuwa

Read More
November 1, 20220

Hisia mseto zimeibuliwa na wakaazi wa kaunti ya Kwale kuhusiana na utekelezaji wa mtaala mpya wa elimu (CBC).

Baadhi ya wakaazi wameupinga mtaala huo na badala yake kuitaka serikali kuboresha mfumo wa zamani wa 8-4-4. Wakiongozwa na Hussein Mgunga, wakaazi

Read More
November 1, 20220

BAADHI YA WAKAAZI WA KAUNTI YA MOMBASA WASISITIZA HAJA YA SERIKALI KUHUSISHA UMMA KABLA KUONGEZA USHURU.

Baadhi ya wakaazi wa kaunti ya Mombasa wamesisitiza haja ya serikali kuhusisha umma kabla ya kuongeza ushuru huku wakidai kuna baadhi ya mabwanyenye s

Read More
November 1, 20220

“Watumishi wa umma watapokea nyongeza ya mshahara” asema Aisha Jumwa.

Waziri wa utumishi wa Umma na Jinsia Aisha Jumwa ametangaza kuwa watumishi wa umma watapokea nyongeza ya mshahara kwa muda wa siku mia zijazo. Akiz

Read More
November 1, 20220

Watu wawili wanaendelea kupokea matibabu katika hosipitali kuu ya makadara baada ya kuvamiwa na kundi la wahalifu asubuhi ya kuamkia leo.

Watu wawili wanaendelea kupokea matibabu katika hosipitali kuu ya makadara baada ya kuvamiwa na kundi la wahalifu asubuhi ya kuamkia leo katika wodi y

Read More
October 31, 20220

Wakfu wa Aga Khan unatekeleza mradi ili kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira miongoni mwao.

Wakfu wa Aga Khan unatekeleza mradi wa miaka miwili wa kutoa mafunzo ya kibiashara kwa vijana unaofadhiliwa na umoja wa ulaya (EU) ili kukabiliana na

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 102 103 104 … 158 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite