Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Kero la Uvamizi wa Ndovu Lavuruga Masomo eneo la Midoina-Bamba Kaunti ya Kilifi May 14, 2025
  • Kina mama zaidi ya 100 wawezeshwa kiuchumi Kilifi. May 14, 2025
  • ‘Niliapa Kulinda Haki na Demokrasia,’ Rais Ruto asema Wote Waliotekwa Nyara ‘Wam... May 13, 2025
  • Mkuu wa Idara ya Ujasusi Noordin Haji Asema Kenya haina Vifaa vya kutetea Mipaka... May 13, 2025
  • Kindiki awaambia Wapinzani wa Serikali Kujiandaa kwa ‘Mapambano Makali ya Kisias... May 13, 2025

Category: Lifestyle

  • Home
  • Lifestyle
  • Page 65
September 20, 20230

Afueni! Mahakama Kuu Yasitisha utekelezwaji wa Hazina ya Uangalizi ya Seneti

Mahakama Kuu imesimamisha utekelezwaji wa Hazina ya uangalizi ya Seneti kufuatia kesi iliyowasilishwa na maseneta 6 wateule. Maseneta hao sita wateul

Read More
September 20, 20230

Kenya haiko katika hali mbaya vile! Yasema Kenya Kwanza

Viongozi wa Kenya Kwanza wametoa mwanga wa matumaini kwa Wakenya wa kuimarika kwa uchumi na kushuka kwa gharama ya maisha nchini. Hii linajiri ni lic

Read More
September 20, 20230

Kikosi Spesheli Kutumwa Kuzima Ugaidi Tana River Na Lamu

Kenya itatuma kikosi spesheli cha wallinz wa usalama katika maeneo ya Kaskazini mwa nchi, ukanda wa juu wa pwani kukabiliana na magaidi. Waziri wa Usa

Read More
September 20, 20230

Mtu mmoja Auawa na Zaidi ya Nyumba 7 Kuteketezwa , Lamu

Mtu mmoja ameripotiwa kuuawa na zaidi ya nyumba 7 kuteketezwa moto eneo la Widhu wadi ya Mkunumbi huko kaunti ya Lamu mapema Septemba 20, 2023. Inaar

Read More
September 20, 20230

Maadhimishi ya wiki kwa Watu wasiosikia Ulimwenguni

Huku ulimwengu ukiadhimisha wiki ya walemavu wa kusikia Septemba 2023, wadau wa elimu ya malumu wametoa wito kwa serikali kuhakikisha walemavu hao wam

Read More
September 20, 20230

TUSHIRIKIANE! Wanachama UDA watakiwa kuja Pamoja, Mombasa

Wanachama wote wa UDA kaunti ya Mombasa wametakiwa kuwa na ushirikiano kwa ajili ya manufaa na ustawi wa chama hicho. Mshauri wa Rais katika maswala

Read More
September 20, 20230

Ukrain Kujenga Bohari la nafaka KPA Mombasa Kumaliza makali ya Njaa Afrika Mashariki

Serikali ya Ukraine imeeleza nia ya kujenga bohari la nafaka nchini Kenya katika mamlaka ya bandari ya Mombasa KPA. Bohari hilo litatumika katika usa

Read More
September 19, 20230

Maafisa Wa KDF Wapoteza Maisha Kwenye Ajali Ya Ndege Msituni wa Boni, Lamu

MAAFISA kadhaa katika Jeshi la Ulinzi Kenya (KDF) wamepoteza maisha baada ya ndege waliokuwa wakiabiri kuanguka msituni Boni, kaunti ya Lamu. Akithib

Read More
September 19, 20230

Watoto wenye umri wa miaka 10 wahusishwa na Visa vya Uhalifu Kilifi

watoto wadogo wenye umri kati ya miaka 8 hadi 11 wamehusishwa pakubwa na visa vya uhalifu vilivyometajwa kuongoza kaunti ya Kilifi. Uhalifu  umetajwa

Read More
September 19, 20230

Kenya Shujaa Wapokea donge la sh 3m kwa Kuinyuka Afrika Kusini

Timu  ya raga ya wachezaji saba nchini Kenya Shujaa wametunukiwa kiima cha sh 3 milioni kutokana na juhuzi za kunyakua kombe la raga Afrika la wachwza

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 64 65 66 … 158 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite