Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025

Category: Siasa

  • Home
  • Siasa
  • Page 32
May 30, 20210

Aliekua Mbunge Wa Kibwezi Magharibi Aaga Dunia………..

Aliyekuwa mbunge wa zamani wa eneo bunge la Kibwezi Magharibi, Kalembe Ndile ameaga dunia mapema leo katika Hospitali ya Nairobi. Ndile ameaga dunia

Read More
May 29, 20210

Mahakama ya Katiba ya Mali imemtangaza Kanali Assimi Goita kuwa rais mpya wa mpito nchini Mali……

Mahakama ya Katiba ya Mali imemtangaza Kanali Assimi Goita kuwa rais mpya wa mpito kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Rais Bah Ndaw ambaye amejiuzulu.

Read More
May 28, 20210

RAIS UHURU KENYATTA AKUTANA NA VIONGOZI WA ENEO LA NYANZA…

Rais Uhuru Kenyatata amefanya mkutano na viongozi wa eneo la nyanza katika ikulu ya rais jijii Nairobi suku chache kabla ya maadhimisho ya madaraka ka

Read More
May 26, 20210

WAKEREKETWA KAUNTI YA LAMU WASEMA WAKAAZI HAWAKUHUSISHA KIKAMILIFU KWENYE MRADI WA LAPPSET……………….

Mkereketwa wa maswala ya siasa na jamii ambae ni mshauri katika baraza la wazee wa bajuni Hassan Albeity amesema kuwa hawajaridhishwa na jinsi serikal

Read More
May 26, 20210

WAZIRI WA LEBA SIMON CHELUGUI AZURU TAASISI YA KIUFUNDI KATIKA KAUNTI YA MOMBASA

Waziri wa leba Simon Chelugui anazuru taasisi ya kiufundi katika kaunti ya Mombasa kutathmini mikakati ya kukuza viwango vya wanaojiunga na taasisi hi

Read More
May 25, 20210

EACC yasema ufisadi bado umekithiri nchini……

Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC imedai kwamba ufisadi bado umekithiri na kulamaza shughuli nyingi nchini licha ya juhudi za tume h

Read More
May 25, 20210

Suleiman Shahbal asema hasubiri kushikwa mkono na JOHO………..

Mfanyibiashara maarufu na mwanasiasa kutoka kaunti ya Mombasa Suleiman Shahbal ameweka wazi kuwa hangojei kushikwa mkono na gavana wa kaunti ya Mombas

Read More
May 24, 20210

Mwanamume anayedaiwa kutatiza hotuba ya rais huko Lamu kufikishwa mahakamani leo……….

Mwanamume mmoja anayedaiwa kutatiza hotuba ya rais Uhuru Kenyatta wakati wa kuzindua rasmi bandari ya Lamu katika kaunti ya Lamu siku ya alhamisi juma

Read More
May 24, 20210

Jaji Martha Koome akabidhiwa rasmi mamlaka ya kuwa jaji mkuu

Jaji mkuu Martha Koome amekabidhiwa rasmi mamlaka ya kuwa jaji mkuu wa kwanza mwanamke humu nchini na rais wa mahakama ya juu. Shughuli hiyo imefan

Read More
May 22, 20210

VIJANA UKANDA WA PWANI WAHIMIZWA KUWEKEZA KAUNTI YA LAMU.

Siku chache tu baada ya rais Uhuru Kenyatta kufungua rasmi bandari ya Lamu, vijana ukanda wa Pwani wamehimizwa kuwekeza katika kaunti hiyo. Akizung

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 31 32 33 … 41 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite