HabariNews

Wito umetolewa kuanzishwa somo la bima kwenye mtaala wa elimu ya shule za msingi hadi vyuo vikuu nchini.

Wito umetolewa kuanzishwa somo la bima kwenye mtaala wa elimu ya shule za msingi hadi vyuo vikuu nchini.

Kama njia moja wapo ya kujua umuhimu wa bima ipo haja ya wanafunzi kuelimiswa wakiwa shuleni umuhimu wa bima.

Ameyasema hayo mwenyekiti wa muungano wa madalali ya bima AIBK Antony Mwangi katika kongamano la 16 eneo la diani kaunti ya kwale kwenye kikao na waandishi wa habari.

Aidha mwenyekiti huyo amesema ni wakati sasa wa mshikamano kama kampuni za bima ili kukabiliana na ushindani wa biashara za kimataifa.

NY NEWS DESK