Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025

Category: Kimataifa

  • Home
  • Kimataifa
  • Page 9
May 4, 20210

Rais Samia Suluhu awasili nchini kwa ziara ya siku mbili……

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili nchini kwa ziara ya siku mbili. Rais Suluhu ambaye ameandamana na Balozi wa Kenya nchini Tanzania Da

Read More
May 3, 20210

Ulimwengu waadhimisha siku ya uhuru wa wanahabari hii leo…..

Huku ulimwengu mzima ukiadhimisha siku ya uhuru ya vyombo vya habari hii leo, hisia tofauti zimetolewa na baadhi ya wanahabari pamoja na wakenya wakid

Read More
April 11, 20210

Rais wa Djibouti Ismael Omar Guelleh kuongoza taifa hilo kwa kipindi cha 5…………..

Kulingana na matokeo yaliyotangazwa mapema leo Guelleh amechaguliwa kwa asimilia 98 ya kura zilizopigwa  ambazo ni Laki moja1, elfu sitini na saba 67,

Read More
April 9, 20210

Rais Kenyatta amuomboleza mwanamfalme Philip wa Uingereza…

Rais Uhuru Kenyatta amejiunga na viongozi wengine wa ulimwengu kumuomboleza Prince Philip, mwanamfalme wa Edinburg aliyefariki hii leo. Prince Phil

Read More
March 27, 20210

Shirika la afya duniani WHO latoa wito kwa makampuni ya kutengeneza chanjo dhidi ya corona kwa mataifa yaliyoendelea kusaidia kusambaza kwa dharura dozi milioni 10 kupitia mpango wa covax ili kuyanufaisha mataifa maskini.

Mkurugenzi wa  WHO tedros  amesema mwaka ulipoanza alitoa hakikisho kwamba katika kipindi cha siku mia 100 duniani kila taifa litakua limeanza kutoa c

Read More
March 26, 20210

Hatimaye hayati Magufuli azikwa huko kwao Chato….

Aliyekuwa rais wa Tanzania hayati John Pombe Magufuli amezikwa alasiri ya leo kwenye makaburi ya familia nyumbani kwao Chato–Kagera nchini Tanzania.

Read More
March 24, 20210

Waziri wa Mambo ya Ndani Fred Matiang’i aipa makataa ya siku kumi na nne UNHCR……………………….

Waziri wa Mambo ya Ndani Fred Matiang’i amelipa shirika la UNHCR makataa ya siku 14 kuja na ramani ya kufungwa kwa kambi za wakimbizi za Dadaab na Kak

Read More
March 23, 20210

Mwili wa Magufuli wawasili Zanzibar ili kuagwa rasmi….

Viongozi wa serikali na dini mbalimbali pamoja na wananchi tayari wamejitokeza katika viwanja vya Amani Karume Kisiwani Zanzibar kuaga mwili ya hayati

Read More
March 22, 20210

Maelfu wajitokeza kuuaga mwili wa Magufuli, huko Dodoma.

Maelfu ya raia wamejitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania John Pombe Magufuli katika uwanja wa jamuhuri mjini Do

Read More
March 20, 20210

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amempongeza Samia Suluhu Hassan kwa kuwa Rais mpya wa Jamuhuru ya Muungano wa Tanzania .

Katika taarifa iliyotumwa kwenye mtandao wake wa Twitter Bw Museveni amesema kuwa Uganda itafanya maombolezo ya siku 14 na kuongeza kuwa ''Roho yake i

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 8 9 10 11 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite