Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025

Category: Siasa

  • Home
  • Siasa
  • Page 33
May 22, 20210

KIONGOZI WA CHAMA CHA ANC MUSALIA MUDAVADI AWATAKA WAKENYA KUUNGANA KATIKA JUHUDI ZA KUENDELEZA MAENDELEO.

Kiongozi wa chama cha ANC Musalia Mudavadi amewataka wakenya kuungana katika juhudi za kuendeleza maendeleo, huku akiwahimiza kupinga siasa za kejeli

Read More
May 21, 20210

Gavana Hassan Joho ahukumiwa na mahakama ya MOMBASA…..

Mahakama ya Mombasa imemuhukumu gavana wa MOMBASA Hassan Joho kifungo cha siku 60 gerezani au alipe faini ya shilingi elfu 250 kwa kosa la kukiuka agi

Read More
May 21, 20210

Wanasiasa wahimizwa kuiga mfano wa jaji Koome na Jaji Willian Ouko……..

Jaji wa mahakama ya juu Martha Koome amewataka wanasiasa kuiga mfano wake na mwenzake Jaji William Ouko kuhusu ushindani usiokuwa na uadui. Akizung

Read More
May 21, 20210

Rais amtaka jaji Koome kutekeleza majukumu yake kwa haki…………

Rais Uhuru Kenyatta ameeleza kufarahishwa kwa kuidhinishwa kwa jaji mkuu mpya akisema ni heshima kwake kuwa rais wa kwanza kumuapisha jaji mkuu wa kwa

Read More
May 21, 20210

Martha Koome aapishwa kuwa jaji mkuu mpya nchini…….

Martha Karambu Koome sasa ndiye jaji mkuu mpya na rais wa mahakama kuu nchini na mwanamke wa kwanza kushikilia wadhifa huo katika historia ya Kenya.

Read More
May 20, 20210

Joho apinga madai kwamba dozi zilizosalia za Astrazeneca zitaharibika…….

Gavana wa kaunti ya Mombasa Hassan Joho amepinga vikali baadhi ya madai kwamba huenda takriban dozi elfu 2 za chanjo ya Astrazeneca ambazo zimesalia z

Read More
May 20, 20210

IEBC yawasilisha notii ya kukata rufaa uamuzi wa mahakama kuu kuhusu BBI…….

Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini imewasalisha notisi ya kukataa rufaa uamuzi wa mahakama kuu kuhusu mswada wa marekebisho ya katiba kupitia ripo

Read More
May 18, 20210

Bunge la kitaifa kesho kujadili uteuzi wa Martha Koome kwa wadhfa wa jaji mkuu…

Bunge la kitaifa hapo kesho linatarajiwa kujadili ripoti ya kamati ya haki na masuala ya sheria kuhusu uteuzi wa Martha Koome kujaza wadhfa wa jaji mk

Read More
May 18, 20210

Idadi ndogo ya wapiga kura yashuhudiwa katika uchaguzi mdogo wa Bonchari na Juja…..

Idadi ndogo ya wapiga kura imeshuhudiwa katika vituo vya upigaji kura eneo bunge la Bonchari kaunti ya Kisii wakati uchaguzi mdogo wa eneo hilo ulipoa

Read More
May 18, 20210

Hatua ya kumbandua gavana wa Wajir mamlakani yachapishwa kwenye gazeti la serikali…….

Spika wa bunge la seneti Ken Lusaka amechapisha rasmi kubanduliwa kwa Mohamed Abdi kama gavana wa Wajir katika gazeti rasmi la serikali kufuatia madai

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 32 33 34 … 41 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite