Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Si Suala la Kisiasa! Kuzuiwa na Kufurushwa kwa Karua na Wenziwe ni Uamuzi Huru w... May 19, 2025
  • ‘Tanzania Sio Shamba la Bibi Kila Mtu Kuingia!’ Rais Samia Awakemea Wanaha... May 19, 2025
  • Headline;Kiongozi mkuu wa kanisa la kianglikana nchini  Jackson Ole Sapit aikoso... May 17, 2025
  • Wanaharakati Wapendekeza kubuniwa Mbinu Mbadala kukabili Mauaji ya Wanawake na D... May 17, 2025
  • Kilifi United yalambishwa mchanga nyumbani May 16, 2025

Month: January 2022

  • Home
  • 2022
  • January
January 31, 20220

Mshukiwa mkuu wa mauji ya bawabu moja katika eneo la Likoni kaunti ya Mombasa amekamatwa katika eneo la ufuo wa bahari.

Mshukiwa mkuu wa mauji ya bawabu moja katika eneo la Likoni kaunti ya Mombasa amekamatwa katika eneo la ufuo wa bahari katika bustani la Mama Ngina.

Read More
January 31, 20220

Zaidi ya walimu 900 wa shule za chekechea (ECDE) wameajiriwa na serikali ya kaunti ya Kwale.

Zaidi ya walimu 900 wa shule za chekechea (ECDE) wameajiriwa na serikali ya kaunti ya Kwale kama njia mojawapo ya kukabiliana na uhaba wa walimu. Gav

Read More
January 31, 20220

Mwili wa mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya Fahami Bakari Shekuwe wapatikana katika chumba cha kuhifadhia maiti.

Mwili wa shukuiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya kwa jina Fahami Bakari Shekuwe umepatikana katika chumba cha kuhifadhia maiti Thika miezi miwili baad

Read More
January 31, 20220

Watu 9 wafariki kwenye shambulizi katika eneo la Arabia kaunti ya Mandera.

Watu 9 wamethibitishwa kufariki na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kukanyaga bomu la kutegwa ardhini katika eneo la arabia kau

Read More
January 30, 20220

WAKAAZI WA ENEO LA CHANGAMWE KATIKA KAUNTI YA MOMBASA WARAIWA KUJISAJILI KAMA WAPIGA KURA.

Wagombea wa nyadhfa mbalimbali za uongozi kupitia kwa chama cha ODM wameendeleza kampeni ya kuwarai Wakaazi wa eneo la Changamwe Kaunti ya Mombasa kuj

Read More
January 30, 20220

Serikali ya kaunti ya Kilifi yalaumiwa.

Serikali ya kaunti ya Kilifi imelaumiwa kwa kosa kuwa na mbinu mbadala ya kuja na bodi ya kusimamia usambazaji wa maji kaunti hiyo. Kulingana na spik

Read More
January 30, 20220

New Music Alert!! Agnes Mjd-Msalaba

Baada ya kutamba na Watangoja, nibadilishe na usikate tamaa, sasa Agnes Mjd amekuja na ujio mpya Kwa jina 'Msalaba'Ngoma inyoelezea mafanikio aliyoyo

Read More
January 28, 20220

Mtambue Msanii Wako, Agnes Mjd.

Agnes Mjd almaarufu Agnes leisch Alizaliwa na kukulia Kibwezi nchini Kenya. Agnes Mjd alianza kuimba akiwa na umri wa miaka 10 kuwaburudisha wanafunzi

Read More
January 27, 20220

Zaidi ya wakulima elfu 13 kutoka kaunti za Kwale, Kilifi, Taita Taveta wamepokea fidia ya milioni 84 kutoka kwa bima ya wizara ya kilimo nchini.

Zaidi ya wakulima elfu 13 kutoka kaunti za Kwale, Kilifi, Taita Taveta wamepokea fidia ya milioni 84 kutoka kwa bima ya wizara ya kilimo nchini. Kuli

Read More
January 27, 20220

Jaji Mkuu Martha Koome amewahakikishia maafisa wa mahakama kote nchini usalama wao kufuatia shambulizi linaloshukiwa kuwa la al-Shabaab katika kaunti ya Lamu usiku wa hapo jana.

Jaji Mkuu Martha Koome amewahakikishia maafisa wa mahakama kote nchini usalama wao kufuatia shambulizi linaloshukiwa kuwa la al-Shabaab katika kaunti

Read More

Posts navigation

1 2 … 6 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite