Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Mamia ya Wakazi Mvita-Mombasa Wajitokeza kwa Matibabu ya Bure May 11, 2025
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025

Year: 2023

  • Home
  • 2023
  • Page 3
December 19, 20230

Martin Dzombo Aidhinishwa Kuwa Nahodha wa meli ya KMA

Katibu mkuu katika wizara ya madini na uchumi sawamati Godfrey Kaituko alimuidhinisha rasmi Martin Munga Dzombo kuwa mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mas

Read More
December 17, 20230

Acheni Propaganda! Serikali ina pesa za kusimamia shughuli zake: asema Mwanaisha Chidzuga

Serikali inazo fedha za kutosha, haijafilisika na ina fedha za kuendesha shughuli zake kikamilifu. Ni kauli yake Naibu Msemaji wa Serikali Mwanaisha C

Read More
December 17, 20230

Bei ya Mafuta itazidi kushuka chini, asema Rais Ruto

Rais William Ruto amebaini kuwa sasa bei ya mafuta itaendelea kushuka polepole katika siku zijazo. Akizungumza huko kaunti Kisii katika Misa ya shukr

Read More
December 14, 20230

DCI yasitisha uchunguzi wa madai ya uchochezi dhidi ya viongozi 4 wa Lamu

Idara ya Upelelezi wa jinai, DCI Mombasa imesitisha uchunguzi kuhusu madai ya semi za uchochezi dhidi ya viongozi wanne wa Jamii ya Wabajuni kutoka ka

Read More
December 14, 20230

Rais Ruto aonya wachochezi; aapa kukabiliana na ukosefu wa usalama kaunti ya Lamu

Rais William Ruto ameahidi kuwa Serikali itajizatiti vilivyo kuhakikisha suala la ukosefu wa usalama katika kaunti ya Lamu linatatuliwa kikamilifu.Aki

Read More
December 14, 20230

Talaka zimezidi!! Kadhi Mkuu awataka wanawake kuwa na subra……….

Wanandoa katika Jamii ya waislamu nchini walitakiwa kukumbatia uvumilivu katika ndoa badala ya kukimbilia talaka za kila wakati. Kulingana na Kadhi mk

Read More
December 14, 20230

Serikali imehimizwa kukumbatia upanzi wa mmea wa rangi maarufu (Bixa) ili kukuza na kuwaendeleza wakulima wa mmea huo hapa nchini.

Kulingana na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kilimo na uzalishaji wa chakula (AFA) Cornelly Serem alisema kuna haja ya serikali kuacha kuagiza mmea wa rangi

Read More
December 13, 20230

Go green! Kaunti yatia saini makubaliano na wadau kubadili sekta ya Uchukuzi kukabiliana na Tabianchi

Serikali ya kaunti ya Mombasa imeweka mikakati mwafaka ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kwa kukumbatia mbinu za kisasa katika sekta ya uchuk

Read More
December 13, 20230

Ujenzi wa reli ya zamani Mombasa kuunganisha SGR Miritini kuendelea

Mradi wa ujenzi na ukarabati wa reli ya zamani kuunganisha usafiri wa abiria kutoka katikati ya mji wa Mombasa hadi kituo cha reli ya kisasa cha SGR M

Read More
December 13, 20230

Serikali Kujenga laini ya umeme ya sh. Bilioni 66 kukabiliana na kukatika kwa nguvu za umeme

Rais William Ruto ameiagiza Wizara ya Nishati kushughulikia kwa kina changamoto ya kukatika kwa umeme. Rais ambaye aliongoza kikao cha Baraza la Ma

Read More

Posts navigation

Previous 1 2 3 4 … 52 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite