Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025

Category: Habari

  • Home
  • Habari
  • Page 117
June 14, 20220

Jamii ya Waboni kaunti ya Lamu yalalamikia ukosefu wa huduma za kimsingi.

Jamii ya Waboni katika kijiji cha Mswakini kaunti ya Lamu wanalalamikia ukosefu wa huduma za matibabu, elimu, maji na usafiri, huku wakiitaka serikali

Read More
June 13, 20220

Wanasiasa wanaotumia semi za uchochezi Kaunti Kilifi Kuchukuliwa hatua za kisheria………..

Shirika la kutetea haki za kibinadam la KECOSCE katika kaunti ya Kilifi limesema litashirikiana kwa ukaribu na idara ya usalama ili kuwachukulia hatua

Read More
June 13, 20220

Chama cha mawakili wa kike FIDA kuandaa kikao na wagombea mbali mbali wa urais Pamoja na wagombea wenza mwezi ujao.

Chama cha mawakili wa kike FIDA kitaanda kikao na wagombea mbali mbali wa urais Pamoja na wagombea wenza wiki ya kwanza ya mwezi ujao. Kikao hicho ki

Read More
June 13, 20220

Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuongoza uzinduzi wa Maabara ya uchunguzi wa idara ya upelelezi DCI.

Rais Uhuru Kenyatta hii leo anatarajiwa kuongoza uzinduzi wa Maabara ya uchunguzi wa idara ya upelelezi DCI. Maabara ya uchunguzi wa DCI ni Kituo cha

Read More
June 13, 20220

Famila moja kisiwani Amu inataka haki kwa binti yao.

Famila moja kisiwani Amu inataka haki kwa binti yao wa umri wa miaka 15 anayedaiwa kunajisiwa kisha kutupwa katika ufuo wa bahari huko Shella akiwa am

Read More
June 13, 20220

Naibu gavana Kaunti ya Mombasa Dr. William Kingi anasema amekuwa na changamoto kumfikia gavana Ali Hassan Joho tangu apokonywe magari yake pamoja na walinzi wake.

Naibu gavana Kaunti ya Mombasa Dr. William Kingi anasema amekuwa na changamoto kumfikia gavana Ali Hassan Joho tangu apokonywe magari yake pamoja

Read More
June 10, 20220

Rais Uhuru Kenyatta amehimiza waajiri mbali mbali kuwapa kipau mbele vijana waliopitia mafunzo ya NYS wanapoajiri wafanyakazi.

Rais Uhuru Kenyatta amehimiza waajiri mbali mbali kuwapa kipau mbele vijana waliopitia mafunzo ya NYS wanapoajiri wafanyakazi. Akizungumza wakati wa

Read More
June 10, 20220

Idara ya afya nchini imesema huenda kukashuhudiwa ongezeko la wagonjwa wa akili.

Idara ya afya nchini imesema huenda kukashuhudiwa ongezeko la wagonjwa wa akili nchini kutokana na hali ngumu ya maisha. Daktari wa magonjwa ya akili

Read More
June 10, 20220

Mgombea wa useneta kaunti ya Kilifi kwa chama cha PAA Ben Kai amepuuzilia mbali kashfa za ufisadi zilizotolewa dhidi yake.

Mgombea wa useneta kaunti ya Kilifi kwa chama cha Pamoja African Alliance-PAA Ben Kai amepuuzilia mbali kashfa za ufisadi zilizotolewa dhidi yake na t

Read More
June 10, 20220

Naibu wa raisi William Ruto anahudhuria kongamano la wanawake.

Naibu wa raisi William Ruto anahudhuria kongamano la wanawake hususan viongozi katika muungano wa kenya kwanza kama mgeni wa heshima katika uwanja wa

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 116 117 118 … 215 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite