Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • ‘Niliapa Kulinda Haki na Demokrasia,’ Rais Ruto asema Wote Waliotekwa Nyara ‘Wam... May 13, 2025
  • Mkuu wa Idara ya Ujasusi Noordin Haji Asema Kenya haina Vifaa vya kutetea Mipaka... May 13, 2025
  • Kindiki awaambia Wapinzani wa Serikali Kujiandaa kwa ‘Mapambano Makali ya Kisias... May 13, 2025
  • Timu 32 Kutoka Kaunti Za Mombasa Na Kwale Kuwania Ubingwa Wa Makala Ya 6 Ya Rash... May 13, 2025
  • Mamia ya Wakazi Mvita-Mombasa Wajitokeza kwa Matibabu ya Bure May 11, 2025

Category: Habari

  • Home
  • Habari
  • Page 180
May 24, 20210

Mwanamume anayedaiwa kutatiza hotuba ya rais huko Lamu kufikishwa mahakamani leo……….

Mwanamume mmoja anayedaiwa kutatiza hotuba ya rais Uhuru Kenyatta wakati wa kuzindua rasmi bandari ya Lamu katika kaunti ya Lamu siku ya alhamisi juma

Read More
May 24, 20210

Makafani ya hospitali ya Kilifi kufunguliwa mwezi ujao…….

Makafani katika hospitali ya rufaa kaunti ya Kilifi  yanatarajiwa kufunguliwa rasmi mwezi juni. Kulingana na waziri wa afya kaunti ya Kilifi Charle

Read More
May 24, 20210

Bibilia iliyotafsiriwa kwa lugha ya Kidigo yazinduliwa Kwale…

Shirika la Bible Translation & Literacy (BTL) limezindua rasmi Biblia iliyotafsiriwa kwa lugha ya Kidigo katika kaunti ya Kwale. Mkurugenzi wa

Read More
May 24, 20210

Machifu wahimizwa kukomesha disco matanga huko Kwale………

Idara ya usalama kaunti ya Kwale imewaagiza maafisa wa serikali ya utawala kuhakikisha hakuna hafla za disco za usiku zinazofanyika kaunti hiyo. Ka

Read More
May 24, 20210

Waumini wa kikristo wanaokwenda kwa waganga wakemewa vikali……..

Mchungaji  wa kanisa Jesus Victory Joel Masika kaunti ya Mombasa amekemea tabia ya  waumini wa dini ya Kikristo katika ukanda  wa Pwani kuenda kwa wag

Read More
May 24, 20210

Familia ya marehemu Bashir Mohamud yasubiri kwa hamu ripoti ya upasuaji……..

Familia ya raia wa Marekani Bashir Mohammed Mahamud inasubiri kwa hamu ripoti ya upasuaji ya mwili wa marehemu kabla ya mazishi baadae leo katika maka

Read More
May 24, 20210

Jaji Martha Koome akabidhiwa rasmi mamlaka ya kuwa jaji mkuu

Jaji mkuu Martha Koome amekabidhiwa rasmi mamlaka ya kuwa jaji mkuu wa kwanza mwanamke humu nchini na rais wa mahakama ya juu. Shughuli hiyo imefan

Read More
May 23, 20210

Volkano yalipuka na kutorosha maelfu ya Familia Nchini Congo………..

Maelfu ya watu wamekimbia makazi yao katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya volkano kubwa kulipuka. Chemchemi za lava kubwa zilitoka kwen

Read More
May 23, 20210

Mtoto wa Shule Afariki baada ya kuumwa na nyoka Kaunti Ya Lamu………

Huzuni imetanda kwenye familia moja eneo la Jipendeni Witu kaunti ya Lamu, baada ya mtoto wao wa darasa la pili  katika shule ya msingi ya jipendeni k

Read More
May 23, 20210

Familia ya mfanya Mohamed Bashir yakana madai kwamba marehemu alikuwa akijihusisha na biashara ya pesa ghushi.

Familia ya mfanya biashara raia wa Kisomali na Mmarekani Mohamed Bashir imekana madai kwamba marehemu alikuwa akijihusisha na biashara ya pesa ghushi.

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 179 180 181 … 215 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite