Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025

Category: Habari

  • Home
  • Habari
  • Page 199
April 8, 20210

Mwanaharakati Edwin Kiama aachiliwa kwa dhamana…………….

Mwanaharakati Edwin Mutemi Kiama aliyekamatwa kwa madai ya kusambaza bango la rais Uhuru Kenyatta ameachiliwa kwa dhamana ya pesa taslimu Shilingi 500

Read More
April 8, 20210

Mwanahabari wa shirika la KBC auawa kwa kupigwa risasi……..

Imebainika kwamba  mshukiwa aliyemuua mwanahabari wa shirika la KBC alipiga simu punde tuu baada ya kutekeleza mauaji hayo nyumbani kwake huko Ololua

Read More
April 8, 20210

Usalama wa chanjo ya Astrazeneca wazidi kutiliwa shaka……….

Usalama wa chanjo dhidi ya virusi vya Corona ya Astrazeneca unazidi kutiliwa shaka, baada ya utafiti uliofanywa barani Uropa kubainisha kwamba inahusi

Read More
April 8, 20210

Huduma za maji zatatizika hapa Mombasa baada ya bomba kupasuka….

Huduma za usambazaji maji katika maeneo ya Kisauni na kisiwani hapa Mombasa zimetatizika baada ya bomba la kusambaza maji kupasuka katika eneo la Bari

Read More
April 8, 20210

Familia zilizopoteza wapendwa wao zaendelea kuomboleza huko Kilifi…..

Baadhi ya familia kutoka eneo la Masaba kaunti ya Kilifi zinaendelea kuomboleza vifo vya wapenda wao waliofariki mapema hapo jana kufuatia ajali iliyo

Read More
April 7, 20210

NAJIDAI!!! MZIKI MPYA KUTOKA KWA ADASA AKIMSHIRIKISHA MKALI WA GENGE MEJJA…………………….

Mwanamziki anayekuwa kwa kasi sana hapa Pwani Esther Mwangala almaarufu Adasa ameamaua kuvunja kimya cha muziki kwa mara nyengine na  kuachilia collab

Read More
April 7, 20210

Karisa Nzai awakosoa baadhi ya wabunge kutokana na hamu ya serikali kukopa zaidi…

Mwaniaji wa kiti cha ubunge katika eneo bunge la jomvu Karisa Nzai amekosoa baadhi ya wabunge kutokana na hamu ya serikali ya kukopa mikopo akisema ku

Read More
April 7, 20210

Magoha alalamikia kukithiri kwa udanganyifu katika mtihani wa KCSE kupitia njia ya simu……

Waziri wa elimu Professor George Magoha amelalamikia kukithiri kwa udanganyifu wa mtihani wa kitaifa wa KCSE kupitia njia ya simu. Akizungumza kati

Read More
April 7, 20210

Watu 15 wafariki katika ajali mbaya barabara kuu ya Malindi – Mombasa…

Watu 15 wamethibitishwa kuaga dunia baada ya kuhusika kwenye ajali mbaya ya barabani maeneo ya Kizingo kwenye barabara kuu ya Malindi Mombasa iliyotok

Read More
March 31, 20210

Mbunge wa Kiambaa Paul Koinange amefariki dunia mapema leo alipokuwa akitibiwa ugonjwa wa Covid-19.

Familia ya marehemu imesema Mbunge huyo amefariki katika Hospitali ya Nairobi. Koinange alikuwa mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Usalama w

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 198 199 200 … 215 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite