Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Kero la Uvamizi wa Ndovu Lavuruga Masomo eneo la Midoina-Bamba Kaunti ya Kilifi May 14, 2025
  • Kina mama zaidi ya 100 wawezeshwa kiuchumi Kilifi. May 14, 2025
  • ‘Niliapa Kulinda Haki na Demokrasia,’ Rais Ruto asema Wote Waliotekwa Nyara ‘Wam... May 13, 2025
  • Mkuu wa Idara ya Ujasusi Noordin Haji Asema Kenya haina Vifaa vya kutetea Mipaka... May 13, 2025
  • Kindiki awaambia Wapinzani wa Serikali Kujiandaa kwa ‘Mapambano Makali ya Kisias... May 13, 2025

Category: News

  • Home
  • Lifestyle
  • News
  • Page 94
December 12, 20220

Viongozi katika kaunti ya Kwale wameapa kushirikiana ili kukabiliana na tatizo la njaa.

Viongozi katika kaunti ya Kwale wameapa kushirikiana ili kukabiliana na tatizo la njaa linaloshuhudiwa katika kaunti hiyo. Wakiongozwa na mbunge wa

Read More
December 12, 20220

Wakaazi wa Kasemeni wanalalamikia kutengwa katika nafasi za ajira za mradi wa bwawa la Mwache.

Wakaazi wa Kasemeni katika eneo la Mazeras huko Samburu kaunti ya Kwale wanalalamikia kutengwa katika nafasi za ajira za mradi wa bwawa la Mwache unao

Read More
December 12, 20220

Chanjo ya Corona kutolewa katika sehemu za ibada.

Baraza la muungano wa viongozi wa kidini nchini (IRCK) kaunti ya Kwale likishirikiana na wizara ya afya linalenga kuanzisha mpango wa kutoa chanjo ya

Read More
December 8, 20220

Shirika la kijamii la Hijaby Mentorship Program limeanzisha mradi wa kuihamasisha jamii kuhusu maswala ya usawa wa jinsia kupitia michezo.

Shirika la kijamii la Hijaby Mentorship Program limeanzisha mradi wa kuihamasisha jamii kuhusu maswala ya usawa wa jinsia kupitia michezo. Mwanzili

Read More
December 8, 20220

Wanawake na vijana kutoka eneo bunge la ShimbaHills wameshinikizwa kupigania nafasi za chifu na naibu chifu.

Wanawake na vijana kutoka eneo bunge la ShimbaHills wameshinikizwa kupigania nafasi za chifu na naibu chifu pindi tu kutakapo ongezwa idadi ya wilaya

Read More
December 8, 20220

Wito umetolewa kwa wananchi katika eneo la Lungalunga kujitokeza kuchukua vitambulisho vya kitaifa.

Wito umetolewa kwa wananchi waliofikisha miaka 18 na zaidi katika eneo la Lungalunga kaunti ya Kwale kuhakikisha wanajitokeza kuchukua vitambulisho vy

Read More
December 7, 20220

Wakaazi kutoka mjini Kwale walaumu idara ya usalama kaunti hiyo Kwa kuzembea katika utendakazi wao.

Wakaazi kutoka mjini Kwale walaumu idara ya usalama kaunti hiyo Kwa kuzembea katika utendakazi wao huku ikipelekea visa vingi vya utovu wa nidhamu kuk

Read More
December 6, 20220

Muungano wa wahudumu wa utalii kaunti ya Kwale umeitaka serikali ya kaunti hiyo kuchimba mabwawa.

Muungano wa wahudumu wa utalii kaunti ya Kwale umeitaka serikali ya kaunti hiyo kuchimba mabwawa katika eneo la Nyango huko Kinango ili kukabiliana na

Read More
December 6, 20220

Miswaada ya watu walemamavu kuangaziwa.

Spika wa bunge la kaunti ya Kwale Seth Mwatela amesema kuwa watahakikisha miswaada inayohusiana na watu wenye ulemavu inaangaziwa pakubwa ili kuwapa w

Read More
December 5, 20220

Salim Mvurya azindua rasmi ujenzi wa taasisi ya kufunza maswala ya bahari na uchumi samawati.

Waziri wa madini na maswala ya Baharini na uchumi sawamati Salim Mvurya amezindua rasmi ujenzi wa taasisi ya kufunza maswala ya bahari na uchumi samaw

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 93 94 95 … 153 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite