Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Timu 32 Kutoka Kaunti Za Mombasa Na Kwale Kuwania Ubingwa Wa Makala Ya 6 Ya Rash... May 13, 2025
  • Mamia ya Wakazi Mvita-Mombasa Wajitokeza kwa Matibabu ya Bure May 11, 2025
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025

Category: Siasa

  • Home
  • Siasa
  • Page 4
February 28, 20240

Rais Ruto hatakuwa na Mpinzani Mkuu Uchaguzi wa 2027

Baadhi ya Viongozi wa Kisiasa wanaoegemea mrengo wa Serikali, Kenya Kwanza, sasa wanasema rais William Ruto hatakuwa na mpinzani wa haja na atachaguli

Read More
February 25, 20240

Rais Ruto awarai Wakenya kushiriki utoaji maoni Kuunga Mkono Miradi ya Serikali

Rais William Ruto amesema kuwa serikali imepiga hatua kubwa katika utekelezaji wa ajenda ya maendeleo nchini katika mnamo wa mwaka mmoja uliopita.

Read More
February 22, 20240

WAFUASI WA ODINGA KUSALIA MAYATIMA WA SIASA

Hatua ya Bwana Odinga kutangaza rasmi azima yake ya kuwania wadhifa wa Mwenyekiti wa AU, sasa inazidi kuibua maswali chungu nzima miongoni mwa wafuasi

Read More
February 22, 20240

Rais Ruto Ahutubu Gizani, Umeme Ukipotea mara Kadhaa

Wakenya wamemiminika katika mitandao mbalimbali ya kijamii kueleza hisia mseto kufuatia kupotea kwa nguvu za umeme mara kadhaa rais William Ruto alipo

Read More
February 20, 20240

Vuta ni kuvute ya uongozi katika baraza Kuu la waislamu SUPKEM

Vuta ni kuvute ya uongozi katika baraza Kuu la waislamu SUPKEM ilizidi kutokota huku wanachama wa baraza hilo kanda ya Pwani sasa wakimtaka aliyekuwa

Read More
February 15, 20240

Odinga asema yu Tayari Kuwania Mwenyekiti wa AU, ipi hatma yake Kisiasa za Kitaifa?

Kiongozi wa mrengo wa Upinzani nchini Raila Odinga ametangaza rasmi kuwa yu tayari kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Muungano wa Afrika, AU. Akihutub

Read More
February 15, 20240

Hakuna Ukatili wa Polisi na Utumizi wa Nguvu nchini Kenya, asema Mudavadi

Visa vya ukatili wa polisi na utumizi wa nguvu kupita kiasi havijaripotiwa hapa nchini Kenya. Ni kauli yake Waziri mwenye mamlaka Makuu na masuala ya

Read More
February 14, 20240

Mzozo wa Uongozi! Maendeleo ya Wanawake Mombasa wamshtumu Waziri Jumwa kuvuruga mipango yao

Chama cha Maendeleo ya Wanawake kaunti ya Mombasa Kimejitokeza kukashifu hatua ya serikali kuingilia kati uongozi na katiba ya chama hicho. Shirika

Read More
February 12, 20240

Wakulima kaunti ya Kilifi waepushwa dhidi ya mbegu ghushi.

Wakulima wakiendelea kutayarisha mashamba yao msimu wa upanzi unapokaribia, serikali ya kaunti ya Kilifi imesema imeweka mikakati ya kukabiliana na us

Read More
February 11, 20240

‘Tutasafisha LSK! Tupate maafisa Wataunga Mkono Ajenda za Rais,’ asema Farouk Kibet

Wandani wa rais huko eneo la Bonde la Ufa wakizidi kuikosoa na kuisuta Idara ya Mahakama kwa kile wanachodai kuwa inahujumu miradi muhimu ya serikali.

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 3 4 5 … 41 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite