Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Si Suala la Kisiasa! Kuzuiwa na Kufurushwa kwa Karua na Wenziwe ni Uamuzi Huru w... May 19, 2025
  • ‘Tanzania Sio Shamba la Bibi Kila Mtu Kuingia!’ Rais Samia Awakemea Wanaha... May 19, 2025
  • Headline;Kiongozi mkuu wa kanisa la kianglikana nchini  Jackson Ole Sapit aikoso... May 17, 2025
  • Wanaharakati Wapendekeza kubuniwa Mbinu Mbadala kukabili Mauaji ya Wanawake na D... May 17, 2025
  • Kilifi United yalambishwa mchanga nyumbani May 16, 2025

Category: World

  • Home
  • World
  • Page 2
February 21, 20220

Rais Uhuru Kenyatta ameunga mkono tangazo la Milki za kiarabu kuanzisha kituo cha ubunifu na ujasiria mali nchini Kenya.

Rais Uhuru Kenyatta ameunga mkono tangazo la Milki za kiarabu kuanzisha kituo cha ubunifu na ujasiria mali nchini Kenya. Tangazo hilo ni sehemu ya ma

Read More
February 13, 20220

KAMPUNI YA PEPSI YAFUNGUA TAWI JIPYA ENEO LA PWANI.

Kwa mara ya kwanza Kampuni ya Kimataifa ya Kinywaji cha Pespsi kimefungua tawi lake jipya eneo la Pwani. Akizungumza katika uzinduzi rasmi wa tawi

Read More
January 21, 20220

Tume ya Uchaguzi na Mipaka Nchini IEBC imeanza kuwasajili wakenya walioko ng’ambo.

Tume ya Uchaguzi na Mipaka Nchini IEBC imeanza kuwasajili wakenya walioko ng’ambo hii leo na kutarajiwa kutamatika Februari 6. Kando na Mataifa mengi

Read More
January 21, 20220

New Music Alert!! Sele – Masauti ft Sammy Young

Wana sema Mwendo ni wa Ngoma Juu ya ngoma baada ya kutamba na Ngoma no Stress aliyomshirikisha Mwanamuziki mwenye umri mdogo zaidi inchini Kenya Trio

Read More
January 17, 20220

Rais Uhuru Kenyatta amedokeza kuwa serikali ya Hungary imetoa shilingi bilioni 5.6 ambazo zitaekezwa katika sekta ya afya.

Rais Uhuru Kenyatta amedokeza kuwa serikali ya Hungary imetoa dola milioni 50 ambazo ni sawa na shilingi bilioni 5.6 ambazo zitaekezwa katika sekta ya

Read More
January 17, 20220

Rais wa Taifa la Hungary Yánosh Áder yuko humu Nchini kwa ziara ya siku nne.

Rais wa Taifa la Hungary Yánosh Áder yuko humu Nchini kwa ziara ya siku nne. Rais huyo ambaye ameandamana na mkewe Anita Herczech amepokelewa katika U

Read More
December 21, 20210

: Meli ya mizigo yazama Madagascar, yaua zaidi ya 17, makumi ya wengine hawajulikani waliko

Meli ya mizigo iliyokuwa imebeba abiria 130 kinyume cha sheria, imezama katika pwani ya kaskazini-mashariki mwa Madagascar na kuua takriban watu 17 hu

Read More
December 3, 20210

Watu wanne wameshtakiwa kwa kumchinja na kumchoma moto hadi kufa mzee mmoja nchini Msumbiji ambaye ametuhumiwa kuwa mchawi.

Watu wanne wameshtakiwa kwa kumchinja na kumchoma moto hadi kufa mzee mmoja nchini Msumbiji ambaye ametuhumiwa kuwa mchawi. Mzee huyo mwenye umri wa

Read More
November 30, 20210

SHIRIKA LA AFYA DUNIANI WHO LATAFUTA MKATABA MPYA WA KUKABILIANA NA KIRUSI KIPYA CHA OMICRON

Shirika la Afya Duniani WHO na washirikishi wengine inatafuta mkataba mpya wa kukabiliana na janga la kirusi kipya cha Omicron. Akizungumza katika uf

Read More
November 29, 20210

HAKUNA MIPANGO YA KUPIGA MARUFUKU KUINGIA HUMU NCHINI KUTOKANA NA AINA MPYA YA CORONA.

Serikali haina mpango wa kupiga marufuku safari za kutoka na kuelekea Mataifa ambayo yameripoti aina mpya ya Virusi vya Corona vya Omicron. Ndiyo kau

Read More

Posts navigation

Previous 1 2 3 4 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite