Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Wabunge waitaka Mahakama Iruhusu ukaguzi wa Wateule wa IEBC kuendelea bila Kukat... May 24, 2025
  • Kitendawili cha Nyumba za Bei Nafuu; Wakazi wa Likoni Wadai Kulazimishwa Kutia S... May 24, 2025
  • Raila aunga mkono Msukumo wa Mabadiliko ya Katiba ili Seneti iwe na Mamlaka na N... May 22, 2025
  • Karua Aiandikia Barua AU na Jumuiya za Kikanda Kuhusu Kuzuiliwa na Kuteswa kwa W... May 22, 2025
  • Boniface Mwangi Aachiliwa Huru; Asafirishwa kwa barabara na kuachwa Ukunda, Kwal... May 22, 2025

Year: 2021

  • Home
  • 2021
  • Page 77
March 24, 20210

Waziri wa Mambo ya Ndani Fred Matiang’i aipa makataa ya siku kumi na nne UNHCR……………………….

Waziri wa Mambo ya Ndani Fred Matiang’i amelipa shirika la UNHCR makataa ya siku 14 kuja na ramani ya kufungwa kwa kambi za wakimbizi za Dadaab na Kak

Read More
March 23, 20210

Maafisa wa usalama Taita Taveta washauriwa kupata chanjo wa CORONA…..

Maafisa wa usalama sawa na maafisa wa utawala wa mkoa kaunti ya Taita Taveta wameshauriwa kupata chanjo ya kujikinga kutokana na maambukizi ya Corona.

Read More
March 23, 20210

Wanahabari wahimizwa kupimwa virusi vya corona…

Ushirika wa waandishi wa habari Ukanda wa Pwani sasa wanawataka wanahabari Nchini kutembelea taasisi za afya kupimwa virusi vya Corona. Mshirikishi

Read More
March 23, 20210

Hospitali ya Jocham ni ya kwanza kutoa chanjo ya covid 19….

Hospitali ya kibinafsi ya Jocham hapa mjini Mombasa imekuwa ya kwanza miongoni mwa hospitali za kibinafsi kuanza kutoa chanjo ya kuthibiti maambukizi

Read More
March 23, 20210

Magoha agadhabishwa na idadi ndogo ya polisi kulinda mitihani……

Mtihani wa KCPE umeingia siku ya pili hii leo, huku zoezi hilo likiendelea vyema katika maeneo mengi ya taifa. Leo Jumanne watahiniwa wanafanya som

Read More
March 23, 20210

Mwili wa Magufuli wawasili Zanzibar ili kuagwa rasmi….

Viongozi wa serikali na dini mbalimbali pamoja na wananchi tayari wamejitokeza katika viwanja vya Amani Karume Kisiwani Zanzibar kuaga mwili ya hayati

Read More
March 22, 20210

Maelfu wajitokeza kuuaga mwili wa Magufuli, huko Dodoma.

Maelfu ya raia wamejitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania John Pombe Magufuli katika uwanja wa jamuhuri mjini Do

Read More
March 22, 20210

Wakaazi 1400 Changamwe wanufaika na mpango wa kugharamia matibabu yao….

Jumla ya wakaazi elfu moja na mia nne kutoka eneo la changamwe wamenufaika na shilling million nane nukta nne kutoka kwa hazina ya maendeleo ya eneo b

Read More
March 22, 20210

Wasimamizi wa mtihani LAMU watakiwa kuwajibika…

Maafisa wa kusimamia mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE katika kaunti ya Lamu wametakiwa kuwajibika ili kufanikisha mtihani huo ambao umeanza h

Read More
March 22, 20210

Mtihani wa KCPE waanza kote nchini, huku usalama ukiimarishwa….

Takriban wanafunzi milioni 1.2 kote nchini wanafanya mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE leo. Wanafunzi hao wameanza na somo la hisabati asub

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 76 77 78 … 92 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite