Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • ‘Niliapa Kulinda Haki na Demokrasia,’ Rais Ruto asema Wote Waliotekwa Nyara ‘Wam... May 13, 2025
  • Mkuu wa Idara ya Ujasusi Noordin Haji Asema Kenya haina Vifaa vya kutetea Mipaka... May 13, 2025
  • Kindiki awaambia Wapinzani wa Serikali Kujiandaa kwa ‘Mapambano Makali ya Kisias... May 13, 2025
  • Timu 32 Kutoka Kaunti Za Mombasa Na Kwale Kuwania Ubingwa Wa Makala Ya 6 Ya Rash... May 13, 2025
  • Mamia ya Wakazi Mvita-Mombasa Wajitokeza kwa Matibabu ya Bure May 11, 2025

Category: Afya

  • Home
  • Afya
  • Page 6
March 26, 20220

Ukosefu Wa Malezi Bora wa tajwa kuwa Chanzo cha Ukosefu wa maadili miongoni mwa vijana.

Ukosefu wa malezi bora na kusahau mila na desturi zaki Afrika zimetajwa kuwa chanzo cha vijana na watoto wenye umri mdogo kukosa maadili mema na kujiu

Read More
March 26, 20220

Mashirika ya kutetea haki za watoto yabuni miradi ya kimasomo Eneo la Pwani.

Baadhi ya mashirika ya kutetea haki za watoto katika eneo la Pwani yamebuni miradi ya kimasomo itakayowaepusha watoto na biashara ya ngono. Kulingana

Read More
March 24, 20220

Taasisi ya utafiti wa matibabu nchini KEMRI imezindua kifaa cha kunakili na kurekodi habari muhimu za mama na mtoto baada ya kujifungua.

Taasisi ya utafiti wa matibabu nchini KEMRI imezindua kifaa cha kunakili na kurekodi habari muhimu za mama na mtoto baada ya kujifungua. Naibu mkuruge

Read More
March 18, 20220

Waajiri katika sekta ya afya sasa watahitajika kufanya mazungumzo upya kuhusu mkataba wa makubaliano ya mishahara.

Waajiri katika sekta ya afya sasa watahitajika kufanya mazungumzo upya kuhusu mkataba wa makubaliano ya mishahara na marupurupu ama CBA kwa wahudumu w

Read More
March 8, 20220

Wagonjwa katika hospitali ya rufaa ya coast general wanaendelea kuhangaika baada ya shughuli za matibabu kusitishwa kufuatia mgomo wa madaktari.

Baadhi ya wagonjwa hao wameeleza meza yetu ya habari kuwa hawakuwa na habari kuhusu mgomo huo huku wakisema mgomo huo umewaathiri pakubwa kwani wameko

Read More
March 8, 20220

Baadhi ya watahiniwa walazimika kufanya mtihani wa kitaifa hospitalini

Wasichana wawili wajawazito kutoka Msambweni ni miongoni mwa watahiniwa zaidi ya elfu 23 katika kaunti ya Kwale wanaofanya mtihani wa kitaifa wa daras

Read More
March 4, 20220

WAHUDUMU WA AFYA KAUNTI YA MOMBASA NA TAITA TAVETA WATISHIA KUGOMA JUMA LIJALO.

Muungano wa madaktari, wauguzi, maafisa wa kliniki, wahuduma wa mahabara pamoja na maafisa wa huduma za dawa katika kaunti ya mombasa na taita taveta

Read More
February 11, 20220

Kijiji cha Mpirani katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi kimeshangaza wahudumu wa afya pamoja na viongozi katika wizara ya afya kutokana na idadi kubwa ya watu wanaoishi na ulemavu.

Kijiji cha Mpirani katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi kimeshangaza wahudumu wa afya pamoja na viongozi katika wizara ya afya kutokana na i

Read More
February 4, 20220

Idara ya usalama katika kaunti ya Mombasa imewataka vijana kuacha kutumia dawa za kulevya.

Idara ya usalama katika kaunti ya mombasa imewashauri vijana kujitenga mbali na matumizi ya dawa za kulenya.Mkuu wa polisi eneo la Mvita katika kaunti

Read More
February 3, 20220

Wahudumu wa afya kaunti ya Kwale watishia kugoma kuanzia kesho.

Shughuli za matibabu katika hospitali za umma kaunti ya Kwale zitatazika kuanzia kesho iwapo wahudumu wa afya watasusia kazi kama walivyotangaza. Wahu

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 5 6 7 … 21 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite