Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025

Category: Habari

  • Home
  • Habari
  • Page 116
June 22, 20220

NAIBU RAIS WILLIAM RUTO AMEFANYA KIKAO NA WALEMAVU.

Mpeperusha bendera ya urais wa muungano wa Kenya Kwanza William Ruto amefanya kikao na watu wenye ulemavu jijini Nairobi, ili kupata taswira kamili ya

Read More
June 22, 20220

KRA IMERIPOTI ONGEZEKO LA MAPATO YA USHURU.

Mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini (KRA) imeripoti ongezeko la mapato ya ushuru kwa muda wa mwaka mmoja kufuatia kujumuishwa kwa mpaka wa Kenya na Ta

Read More
June 16, 20220

Waziri wa usalama wa kitaifa Daktari Fred Matiang’i ahakikishia wakenya uchaguzi huru na haki.

Waziri wa usalama wa kitaifa Fred Matiang’I amesema uchaguzi mkuu wa agosti 9 utakuwa huru na Haki. Akizungumza baada ya mkutano na mabalozi wa kenya

Read More
June 16, 20220

Wakaazi wa eneo la Pwani ya Kenya walalamikia kupanda kwa gharama ya Maisha.

Wakaazi hapa Pwani wanalalamikia kupanda kwa gharama ya Maisha wengi wakisema wameshindwa kukidhi mahitaji ya kimsingi ikiwemo kununua chakula, matiba

Read More
June 16, 20220

Taasisi ya watoto wanaoishi na ulemavu yaitaka serikali kuu kuongeza mgao wa bajeti wa taasisi hio.

Taasisi ya watoto wanaoishi na ulemavu wa kuzungumza, kusikia na kuona nchini imeitaka serikali kuu kuongeza mgao wa bajeti ya taasisi hio ili kuhakik

Read More
June 15, 20220

MASHIRIKA YA KIJAMII YAWATAKA WAKENYA KUTOKAA KIMYA KUFUATILIA KUPANDA KWA BIDHAA KILA UCHAO.

Shirika la kutetea haki zakibinadamu la Haki Afrika limewataka wananchi wa kenya kutokaa kimya kufuatilia kupanda kwa bidhaa kila uchao. Kauli hii in

Read More
June 15, 20220

Mashirika ya kijamii ukanda wa Pwani yazidi kuendesha kampeni ya kupanda mikoko .

Mashirika ya kijamii ukanda wa pwani yanaendesha kampeni ya kupanda mikoko 325, 000 ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa na kuinua

Read More
June 14, 20220

Chama cha Wiper chamemtetea aliyekuwa gavana wa Nairobi mike Sonko.

Chama cha Wiper kimemtetea aliyekuwa gavana wa Nairobi mike Sonko ambaye amezuliwa na tume ya uchaguzi kuwania wadhfa wa ugavana kaunti ya Mombasa. Wi

Read More
June 14, 20220

Wanaharakati wa mazingira wazindua kampeni ya kupanda miche milioni moja.

Wanaharakati wa mazingira kaunti za Lamu, Nairobi na Nakuru wamezindua kampeni ya kupanda miche milioni moja katika kaunti ya Lamu. Kampeni hiyo imepe

Read More
June 14, 20220

Idara ya Afya kaunti ya Taita Taveta kuzindua mradi wa hamasisho la matibabu ya saratani.

Idara ya Afya kaunti ya Taita Taveta inasema inapanga kuzindua mradi wa hamasisho la matibabu ya saratani utakao wahusisha watu wanaoishi na ulemavu.

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 115 116 117 … 215 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite