Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Mamia ya Wakazi Mvita-Mombasa Wajitokeza kwa Matibabu ya Bure May 11, 2025
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025

Category: Habari

  • Home
  • Habari
  • Page 128
January 20, 20220

Naibu wa Rais William Ruto anatarajiwa kuzuru maeneo kadhaa katika Kaunti ya Machakos hii leo kuendeleza kampeni zake za kuwania Urais wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9.

Naibu wa Rais William Ruto anatarajiwa kuzuru maeneo kadhaa katika Kaunti ya Machakos hii leo kuendeleza kampeni zake za kuwania Urais wakati wa Uchag

Read More
January 20, 20220

Takriban watu 265 wamefariki katika ajali tofauti za barabarani humu nchini tangu Mwezi Januari mosi 1, mwaka huu.

Takriban watu 265 wamefariki katika ajali tofauti za barabarani humu nchini tangu Mwezi Januari mosi 1, mwaka huu. Hili ni ongezeko la asilimia 32 ya

Read More
January 20, 20220

Baadhi ya vituo vya usajili katika maeneo ya Lamu Magharibi havijasajili hata mtu mmoja.

Baadhi ya vituo vya usajili katika maeneo ya Lamu Magharibi havijasajili hata mtu mmoja. Hali hii inatajwa kuchochewa na visa vya utovu wa usalama am

Read More
January 19, 20220

Tume ya Huduma kwa Polisi NPS imetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu miili iliyopatikana kwenye mto Yala.

Tume ya Huduma kwa Polisi NPS imetoa taarifa kwa vyombo vya habari ikisema kuwa kwa kipindi cha miaka miwili miili 19 imepatikana kwenye mto Yala kin

Read More
January 19, 20220

Maafisa kumi wakuu wa Kenya Power wanatarajiwa kufikishwa Mahakamani.

Maafisa kumi wakuu wa Kenya Power wanatarajiwa kufikishwa Mahakamani baada ya kukamatwa hapo jana kwa kosa la kutatiza usambazaji wa umeme ambao umeat

Read More
January 19, 20220

HATIMAYE MFANYIBIASHARA JIMMY WANJIGI AFIKISHWA MBELE YA HAKIMU WA MAHAKAMA YA MILIMANI JIJINI NAIROBI.

Hatimaye Mfanyibiashara Jimmy Wanjigi amefikishwa mbele ya Hakimu Mkuu wa Mahakama ya Milimani Benard Ochoi. Upande wa Mashtaka umependekeza mashtaka

Read More
January 17, 20220

Rais Uhuru Kenyatta amedokeza kuwa serikali ya Hungary imetoa shilingi bilioni 5.6 ambazo zitaekezwa katika sekta ya afya.

Rais Uhuru Kenyatta amedokeza kuwa serikali ya Hungary imetoa dola milioni 50 ambazo ni sawa na shilingi bilioni 5.6 ambazo zitaekezwa katika sekta ya

Read More
January 17, 20220

Rais wa Taifa la Hungary Yánosh Áder yuko humu Nchini kwa ziara ya siku nne.

Rais wa Taifa la Hungary Yánosh Áder yuko humu Nchini kwa ziara ya siku nne. Rais huyo ambaye ameandamana na mkewe Anita Herczech amepokelewa katika U

Read More
January 17, 20220

Jaji mkuu Martha Koome anatarajiwa kuliongoza jopo la majaji saba watakaosikiliza kesi ya mswaada wa BBI

Jaji mkuu Martha Koome anatarajiwa kuliongoza jopo la majaji saba watakaosikiliza kesi ya mswaada wa kuifanyia katiba marekebisho BBI hapo kesho. Kes

Read More
January 17, 20220

USAJILI WA WAPIGA KURA KWA AWAMU YA PILI YAANZA HII LEO.

Huku usajili wa wapiga kura ukianza rasmi hii leo, wito umetolewa kwa wananchi ambao bado hawajasajiliwa kujitokeza kwa wingi haraka iwezekanavyo. Wa

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 127 128 129 … 215 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite