Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025

Category: Lifestyle

  • Home
  • Lifestyle
  • Page 101
November 14, 20220

WAKULIMA ZAIDI YA 400 WAHUDHURIA MAFUNZO YA KUPANDA MITI KILIFI.

Wakulima zaidi ya 400 kutoka wadi ya Junju wamehudhuria mafunzo ya kuwahamasisha mbinu bora za ukulima wa mimea, ufugaji na upandaji wa miti, ili kuka

Read More
November 12, 20220

Wahudumu wa mabaa kutoka kaunti ya Kwale wamelalamikia hatua ya baadhi ya benki za humu nchini ya kuwanyima mikopo ya kuendeleza biashara zao.

Mwenyekiti wa wahudumu hao Richard Onsongo ameilaumu pakubwa benki ya ABSA kwa madai ya kuwanyima fedha za mikopo. Akizungumza katika hoteli moja e

Read More
November 12, 20220

Wito umetolewa kuanzishwa somo la bima kwenye mtaala wa elimu ya shule za msingi hadi vyuo vikuu nchini.

Wito umetolewa kuanzishwa somo la bima kwenye mtaala wa elimu ya shule za msingi hadi vyuo vikuu nchini. Kama njia moja wapo ya kujua umuhimu wa bi

Read More
November 12, 20220

Halmashauri inayoshughulikia kampuni za bima nchini yatakiwa kuhakikisha kampuni zinaweka kiwango maalumu cha malipo kwa jamii ya watu wanaoishi na uwezo maalum.

Jamii ya watu wanaoishi na uwezo maalum kaunti ya Kwale wameitaka halmashauri inayoshughulikia kampuni za bima nchini kuhakikisha kampuni zinaweka kiw

Read More
November 10, 20220

Naibu Rais apata afueni baada ya mahakama ya kukabili ufisadi kufutilia mbali kesi dhidi yake.

Mahakama inayoshughulikia kesi za ufisadi nchini imekubali ombi la mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya Umma Noordin Hajj la kumuondolea kesi ya ufisadi wa

Read More
November 10, 20220

Familia moja Malindi yalilia haki baada ya mwili wa Mpendwa wao kubainika hauna viungo muhimu.

Ripoti ya upasuaji uliofanyiwa mwili wa Amani Justin Luwali aliyefariki katika njia tatanishi nchini Italia imebaini kuwa hauna baadhi ya viungo muhim

Read More
November 9, 20220

Shule ya upili ya wavulana ya Arabuko Sokoke eneo bunge la Ganze kaunti ya Kilifi imesemekana kufungwa.

Shule ya upili ya wavulana ya Arabuko Sokoke eneo bunge la Ganze kaunti ya Kilifi imesemekana kufungwa baada ya wanafunzi kuonyesha utovu wa nidhamu.

Read More
November 9, 20220

Baa la Njaa laendelea kutikisa wakaazi wa Kinango -kwale.

Takwimu kutoka Serikali ya kitaifa pamoja na shirika la msalaba mwekundu wanasema takriban wakaazi laki mbili wa kaunti ya kwale wameathirika na ukame

Read More
November 9, 20220

Madereva wa texi Mombasa wapongeza hatua ya marubani wa KQ kusitisha mgomo.

Madereva wa texi katika kaunti ya Mombasa wameeleza furaha yao baada ya mahakama ya leba kuamuru marubani wa ndege wa shirika la ndege la kenya air wa

Read More
November 9, 20220

Gavana wa Mombasa Abdhulswamad Nassir aahidi kulipa mishahara ya wafanyakazi kaunti ya Mombasa.

Mgomo wa muungano wa madaktari hapa Mombasa uliokuwa umepangwa kufanyika siku ya Ijumaa wiki hii huenda ukastishwa. Hii ni baada ya gavana wa kaunt

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 100 101 102 … 158 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite