Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Mamia ya Wakazi Mvita-Mombasa Wajitokeza kwa Matibabu ya Bure May 11, 2025
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025

Category: Siasa

  • Home
  • Siasa
  • Page 31
June 15, 20210

Viongozi wa kisiasa Kilifi wametakiwa kudumisha umoja……

Viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Kilifi wametakiwa kudumisha umoja kwa manufaa ya mkaazi wa kaunti hiyo. Katika mahojiano ya kipekee, mwakilish

Read More
June 11, 20210

Charity Ngilu awataka Raila na Kalonzo kuungana………..

Gavana wa Kitui Charity Ngilu sasa anasema kwamba iwapo kinara wa chama cha WIPER Kalonzo Musyoka hataungana na kinara wa ODM Raila Odinga katika ucha

Read More
June 11, 20210

Raila amshutumu vikali aliyekuwa jaji mkuu Willy Mutunga…………

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amemshutumu vikali jaji mkuu mstaafu Willy Mutunga kwa  kumshutumu rais Uhuru Kenyatta kufuatia madai ya kuhujumu

Read More
June 11, 20210

Jaji Daniel Musinga aapishwa rasmi kuwa rais wa mahakama ya rufaa……

Jaji Daniel Musinga ameapishwa rasmi kuwa rais wa mahakama ya rufaa katika hafla maalum hii leo. Jaji Daniel Musinga ameapishwa rasmi kuwa rais wa

Read More
June 11, 20210

Jaji mkuu Martha Koome amuagiza rais kuwateua majaji sita aliowatenga…..

Jaji mkuu Martha Koome ametoa msimamo wake rasmi kuhusu suala la majaji  sita ambao hawakuteuliwa na rais Uhuru Kenyatta, miongoni mwa majaji 40 walio

Read More
June 3, 20210

Mkutano wa Chama cha UDA watibuliwa mjini Mombasa……………………

Maafisa wa polisi hapa Mombasa wametibua kikao kilichoitishwa na maafisa wa chama cha UDA kinachohusishwa na naibu rais William Ruto kilichokuwa kinaa

Read More
June 2, 20210

Hatua ya rais kuvunja utaratibu katika sherehe za madaraka yakosolewa vikali……..

Mkeretwa wa masuala ya usalama na siasa ambae pia aliwania kiti cha ubunge katika eneo bunge la Changamwe Abdi Daib amekashifu vikali hatua ya hapo ja

Read More
June 2, 20210

Jopo la majaji saba kuskiza kesi ya rufaa ya kupinga BBI………..

Jaji wa mahakama ya rufaa Daniel Musinga amesema jopo la majaji saba ndilo litasikiza na kuamua kesi za kupinga uamuzi wa mahakama kuu kuhusu mchakato

Read More
June 1, 20210

Rais Uhuru Keyatta asisitiza umuhimu wa BBI……………………….

Rais Uhuru Keyatta amesisitiza umuhimu wa BBI na harsara ambayo itakumba wakenya kutokana na maamuzi mabovu ya mahakama kuhusu BBI. akihutubia wakeny

Read More
May 31, 20210

Abdulswamad Nassir asisitiza kwamba atawania ugavana Mombasa….

Mbunge wa Mvita Abdulswamad Shariff Nassir amewahakikishia watu wa Mombasa kwamba atakuwa kwenye kinyang’anyiro cha ugavana ndani ya kaunti ya Mombasa

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 30 31 32 … 41 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite