Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025

Images

  • Home
  • Image
  • Page 84
September 16, 20210

Wagonjwa katika hospitali ya rufaa ya makadara wanazidi kuililia serikali ya kaunti ya Mombasa…

Wagonjwa katika hospitali ya rufaa ya makadara wanazidi kuililia serikali ya kaunti ya Mombasa kuhusiana na mgomo wa wauguzi pamoja na madaktari unaoe

Read More
September 16, 20210

Wanafunzi 196 waliofanya KCPE bado hawajajiunga na shule za upili katika eneo bunge la Kilifi Kaskazini…

Wanafunzi 196 waliofanya mtihani wao wa darasa la nane KCPE bado hawajajiunga na shule za upili katika eneo bunge la Kilifi Kaskazini. Kulingana na

Read More
September 15, 20210

Taharuki imetanda katika kijiji cha Wasaa kaunti ya Kwale kutokana na uwepo wa nyati ambaye anawahangaisha.

Wakazi wa Kikoneni wanasema kwamba shughuli za ukulima ebneo hilo limeathirika pakubwa kwa sababu mara nyingi wanapolima na mahindi kuwa nyati huyafan

Read More
September 15, 20210

Jaji mkuu Martha Koome anatarajiwa hapo kesho kuzindua rasmi maono yake kwa idara ya mahakama….

jaji mkuu Martha Koome anatarajiwa hapo kesho kuzindua rasmi maono yake kwa idara ya mahakama kwenye majengo ya mahakama ya juu. Uzinduzi huo unata

Read More
September 15, 20210

Korea kaskazini imefyatua makombora mawili ya masafa marefu, yasema Korea Kusini…

Korea Kaskazini imefyatua makombora mawili ya masafa marefu kutoka pwani ya mashariki ya taifa hilo, jeshi la Korea Kusini limethibitisha. Japan pi

Read More
September 15, 20210

Serikali ya Kilifi yazindua miradi mitatu ya kusambaza maji huko Magarini…..

Serikali ya kaunti ya kilifi imezindua miradi mitatu ya usambazaji maji kwa gharama ya shillingi millioni 20 katika eneo bunge la Magarini. Miradi

Read More
September 15, 20210

Jamaa wawili wanaoshukiwa kumbaka mwanamke mwenye akili tahira wakamatwa huko Lamu…..

Idara ya upelelezi wa jinai DCI imefanikiwa kuwakamata watu wawili wanaoshukiwa kumbaka mwanamke mwenye akili taahira  katika kaunti ya Lamu. Wawil

Read More
September 15, 20210

Madaktari kaunti ya Mombasa waanza mgomo rasmi hii leo….

Muungano wa madaktari KMPDU kaunti ya Mombasa  wametangaza kujiunga na mgomo wa wauguzi ambao umeingia wiki ya pili sasa. Madaktari hao kutoka hosp

Read More
September 15, 20210

Watoto wawili wafariki papo hapo baada ya kushambuliwa na fisi huko Kinango….

Watoto wawili wa kati ya mwaka 1 na 2 wamefariki papo hapo huku watu 3 wakiachwa na majeraha baada ya kushambuliwa na fisi (hyena) katika kijiji cha B

Read More
September 14, 20210

Shambulio la kuvizia dhidi ya msafara wa maafisa wa usalama nchini Burkina Faso, limewauwa maafisa wa usalama sita.

Shambulio la kuvizia dhidi ya msafara wa maafisa wa usalama nchini Burkina Faso uliokuwa ukisafirisha malori ya mafuta kutoka kwenye mgodi wa machimbo

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 83 84 85 … 120 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite